Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hv hichi kikosi nichaushindi kweli?
Siwadharau hawa kikosi B lakini sidhani kama umati huu wa leo umeingia kuona akina Milner, Henderso nk

Klopp knows better probably mechi zijazo na alichokiona Jumapili pale Ethad kimempelekea aje na hawa wachezaji wa leo ila duh hata Anfield kumepoa
sanaaa..

Haya Jota na Firmino wana jambo lao.

YNWA
 
Jamani naombeni site ambapo naweza kuangalia hii game online,nilikuwa natumia hesgoal.com lakini naona siku hizi inasumbua.
 
Install hiyo app
Jamani naombeni site ambapo naweza kuangalia hii game online,nilikuwa natumia hesgoal.com lakini naona siku hizi inasumbua.
Screenshot_2022-04-13-22-27-14-610_com.android.vending.jpg
 
hawa villareal ni watu wakuwaendea very agressive si wa kuwachukulia poa kabisa kwa mpira niliouona wakicheza dhidi ya buyern wana mpira flani wa kaunta na mashambulizi yakushtukiza ni wakuwa nao makini sana hasa ile high line yetu tunayotumia
Inakua timu ikiwa under dog hua hata presha ni ndogo sana tofauti na hawa wanaoitwa favourite kama Bayern jana.

Timu ikiwa favourite hua ma presha kama yote.

Gemu plan ya Unai ni ku maintain position mpaka pale watapata mpenyo wa kushambulia kwa kupiga kaunta sasa ndugu kwa staili hio lazima watishe maana wanawakaribisha mshambulie na wakafanikiwa kaunta kwa vile mpaka ma beki watakua wamekwenda kushambulia na hapo mawili kipa awaokoe ama kipigo.

Sasa wale kwa Liverpool ndio watajua hawajui maana hio high line kwetu sio udhaifu mbali ni our main component.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom