Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220413_081917_edit_158929442817415.jpg


Aisee mdogo mdogo kila mmoja anakaa nafasi yake.

Tuatelewana tu.

YNWA
 
Hapa Liverpool wanajiona wapo final [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ....hata buyern baada ya draw alijiona yupo semi final lakin that is football [emoji28][emoji28]
Yaani wewe unatupigia ramli wakati una mechi pia??
Sisi ndo tunatinga fainali hivyo [emoji2],,wewe kashinde mechi zako.
 
Kweli mkuu , ishu ya mastaa pale ni kama ugonjwa wa covid 19...lakini kwa taarifa nilizozipata kutoka jiji la Manchester, ni kwamba bodi pamoja na uwendawazimu wao, wameamua kumpa rungu la ku ondoa unncessary wastes hao mastaa na kwamba mtu ambaye ataona haipiganii timu basi aondolewe awekwe benchi atafute timu nyingine ya kucheza kipoyoyo, na kuna watu washaanza kutafuta timu na wengine washaanza kuwaza kuondoka akina pogba na wenzake
Eti pamoja na uwendawazimu wao😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
Mkuu unaupiga mwingi mno🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom