MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,291
- 2,368
Sahihi kabisa Klopp hapa sasa tupite kesho salama aafu aanze profiling namna ya ku wazima hawa Real Virrareal hakuna namna ni wao ama sisi.
Manchester United gap ushindani wa huku Robo Fainali mmeachwa mbali sana. Cha msingi sasa ni kuanza upya mkakati kurejea kwenye ubora mna nafasi hio sasa kwa kuanza kupata Kocha Kiwango. Ushauri wangu nendeni mazima kwa Inzaghi anawafa zaidi kuliko kipara wa Ajax ama Pochetinho. Huyu wa Ajax wasi wasi wangu ni kuwa manage ma staa wakubwa pale Manchester United ambao siku hizi hawachezi kwa sababu ya badge yaaani unahitaji no nonsense manager.
YNWA
Wangempata Luis Enrique angewafaa sana, hana ujinga yule, aliwahi kumvimbia mpaka Messi na akamfanyia sub kwa lazima, sembuse hao kina Sanchoka na Pogba



