Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi mkuu huoni our WCP wameleta uefa, super up, CWC Yan makombe makubwa makubwa na bado sisi ni mabingwa watetezi ..Sasa ninyi players wenu kwa Jin's walivyo wa kawaida basi kwa kubeba carabao kwao ni ushindi tosha. Sisi ni Chelsea bwana alaah 💙💙💙 ..tuna WCP ambapo Kila timu itahitaji huduma zao ..niambie ni wapi Werner au Harvet, au kante anaweza kosa namba? Sasa huyu mfano Jota au Diaz hao ata pale arse8 hhawapati namba🤣🤣🤣
OllaChuga Oc kwani hawa wachezaji wako wa dunia wanaingia saa ngapi ama wanaingia kupiga penati nini?

Tuambiane maana nilipo ubao unasoma 5 umetanguliwa na ukipigika hapa ujue sasa umetema nafasi ya kutetea kwanza Ubingwa wa Ulaya
Ubingwa wa Super Cup
Ubingwa wa Club World Cup.

Utakua sasa umebakiza FA na kumaliza Top 4 na hapo kidomo chote utakua umepoa kama maji ya mtungi.

Una dakika 12 tu upindue meza kibambe.

YNWA
 
Liverpool, nasikia huko Munich kuna msiba wa kitaifa, huu ni wakati wenu kupiga dabo dabo makombe, mkono wa kulia EPL, mkono wa kushoto UEFA. hii ndio nafasi yenu.
Usimchukulie powa Unai huyu bwana ni masta wa Uefa.
Klopp alikutana nae akiwa Sevila fainali ya Uropa wee mbona alitupiga akiwa ametulia kama leo yaaani.
Hawa ma under dogs hua ni shinda sana aisee.
Bayern wanalia mpaka sasa.

YNWA
 
Usimchukulie powa Unai huyu bwana ni masta wa Uefa.
Klopp alikutana nae akiwa Sevila fainali ya Uropa wee mbona alitupiga akiwa ametulia kama leo yaaani.
Hawa ma under dogs hua ni shinda sana aisee.
Bayern wanalia mpaka sasa.

YNWA

Bayern ya msimu huu haina makali sana kama ile ya misimu kadhaaa nyuma, sijui wanakwama wapi.
 
Ni kweli usemayo mkuu , halafu eti sisi utd ndio tulikua tunalilia kuja anga hizi tunachekesha kweli
Anyway najua klopp akituliza kichwa vizuri kabisa najua ataiona loophole mahali kwa hawa maandadogi.
Sahihi kabisa Klopp hapa sasa tupite kesho salama aafu aanze profiling namna ya ku wazima hawa Real Virrareal hakuna namna ni wao ama sisi.

Manchester United gap ushindani wa huku Robo Fainali mmeachwa mbali sana. Cha msingi sasa ni kuanza upya mkakati kurejea kwenye ubora mna nafasi hio sasa kwa kuanza kupata Kocha Kiwango. Ushauri wangu nendeni mazima kwa Inzaghi anawafa zaidi kuliko kipara wa Ajax ama Pochetinho. Huyu wa Ajax wasi wasi wangu ni kuwa manage ma staa wakubwa pale Manchester United ambao siku hizi hawachezi kwa sababu ya badge yaaani unahitaji no nonsense manager.

YNWA
 
Leo Dunia nzima Ina furaha Club bingwa wa Dunia nzima anacheza Leo.

Njooni mushuhudie kandanda Safi kutoka kwa mabingwa wa Dunia nzima.

Sisi ni mabingwa watetezi na Dunia Ina furaha sana Leo

Ushindi ni lazima.
#CFC
Bingwa wa dunia Nijaalie Hali yako uko ulipo
 

Mshkaji wangu Ollachuga atakuwa ashajifunika blanket usoni
Wenzie akina lembu wanaelewa ugenini ukiwa umetanguliwa 3 sio kazi nyepesi kurudisha lakini huyu Mkaskazini muda wote yupo humu jamvini kama vile kashapita anawasubiri Kipara ama El Cholo nusu fainali.

Salute kwao leo wamecheza soka safi kabisa kasoro umaliziaji tu ndio umewaangusha.

Thomas ni mwalimu safi kabisa. Huu uwanja kuja na ile mentality si mchezo aisee.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom