Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mie high line bado siikubali mpaka mwisho
Mkuu bila MF wa uhakika hakuna namna kwa mfumo wa Liverpool ulivyo Robbo na Trent ni MF maana wao ndio creators kazi ambayo kwa timu nyingi zinafanywa na MF...tusubiri msimu ujao tuone kama rasmi sasa Klopp anakwenda na 4 3 2 1 especially baada ya kumpata Fabio na pengine Bissouma.

Twende na high line ila kuwe na nidhamu kujua muda gani kucheza offside.. Hata hivyo jana Fabinho hakua mchezoni nimeona media nyingi zimempa rate ya 6 jana hivyo akiwa ndio DM na amepoteana hakuna kingine zaidi ya mabeki kuzidiwa.

YNWA
 
😂😂😂😂😂
Uzuri liver inashinda mara nyingi kwahiyo full burudani yaani afu yeye anashabikia mitakataka ikiyokwama darajani.
Khaaa asa unamsaidia aje huyo maana Daraja ndio hili
Screenshot_20220407_091810_com.android.chrome_edit_590997548533776.jpg

Yaaani baada ya kuodoka Roman wamekua kama yatima hawana mwenyewe.

YNWA
 
Kwa hio hao ma staaa wako ambao Liverpool hatuna wamekufikisha wapi EPL msimu huu.

Tuache maneno mengi, data ziongee tazama msimamo wa EPL.

View attachment 2183428

Haya sasa hao ma staa wako hawachezi Ligi hii?

Duuh ila haya mambo acheni tu leo hii Chugga anavizia kuingia humu mpaka kwanza apate matokeo. 😂😂😂.. Ligi inaanza alikua hakauiki humu kusema bingwa ni yeye tu.

Haya wewe koma na ma staa wako sie na hawa wa kwetu tuna Carabao ambao ma staa wako hawakucheza😂😂😂

YNWA
Hivi mkuu huoni our WCP wameleta uefa, super up, CWC Yan makombe makubwa makubwa na bado sisi ni mabingwa watetezi ..Sasa ninyi players wenu kwa Jin's walivyo wa kawaida basi kwa kubeba carabao kwao ni ushindi tosha. Sisi ni Chelsea bwana alaah 💙💙💙 ..tuna WCP ambapo Kila timu itahitaji huduma zao ..niambie ni wapi Werner au Harvet, au kante anaweza kosa namba? Sasa huyu mfano Jota au Diaz hao ata pale arse8 hhawapati namba🤣🤣🤣
 
Haya namba walizopata zimewafikisha wapi sasa??mbona akina Jota wamewachakaza?

😂😂😂😂😂 Kwa maneno tu haujambo.
Twende na Data sasa hakuna maneno hapa.

Huyo Jota mtazame ana goli 21 msimu huu sawa na magoli ya Lukaku + Werner 😂😂😂😂😂.

Ukichukua magoli ya Kai+ Lukaku bado hawapati magoli ya Salah aafu unasema una wachezaji kiwango cha dunia.

Haya ngoja tuwaone kesho mastaa wako wakifanya jambo lao pale Madrid.

Wafungaji bora Liverpool msimu huu.
Screenshot_20220411_213427_com.android.chrome_edit_92031607532310.jpg

Tazama hapo chini uone mlivyo achwa mbali na vijana wa Klopp kusaka magoli. Yaaani kila baada ya dakika 197/196 mfungaji wako bora anatupia goli..sasa tazama rekodi ya Jota unaemkataa pamoja na dogo hachezi gemu zote lakini kila baada ya dakika 137😁 anatupia goli... Acha kumlinganisha Jota na hawa wachezaji wako wa bei ghali lakini magoli kusaka ni mizigo.

Kai mfungaji bora kwako ana magoli 13 huku Jota wa bei chee ana magoli 21 akiwa nafasi ya pili Liverpool. Kinara Liverpool ni Salah ana magoli 28.

Ubao wa wafungaji bora Chelsea msimu huu.

Screenshot_20220411_213358_com.android.chrome_edit_92056153904702.jpg

YNWA
 
Kwa maneno tu haujambo.
Twende na Data sasa hakuna maneno hapa.

Huyo Jota mtazame ana goli 21 msimu huu sawa na magoli ya Lukaku + Werner .

Ukichukua magoli ya Kai+ Lukaku bado hawapati magoli ya Salah aafu unasema una wachezaji kiwango cha dunia.

Haya ngoja tuwaone kesho mastaa wako wakifanya jambo lao pale Madrid.

Wafungaji bora Liverpool msimu huu.
View attachment 2184278

Tazama hapo chini uone mlivyo achwa mbali na vijana wa Klopp kusaka magoli. Yaaani kila baada ya dakika 197/196 mfungaji wako bora anatupia goli..sasa tazama rekodi ya Jota unaemkataa pamoja na dogo hachezi gemu zote lakini kila baada ya dakika 137 anatupia goli... Acha kumlinganisha Jota na hawa wachezaji wako wa bei ghali lakini magoli kusaka ni mizigo.

Kai mfungaji bora kwako ana magoli 13 huku Jota wa bei chee ana magoli 21.

Ubao wa wafungaji bora Chelsea msimu huu.

View attachment 2184272

YNWA
Anakuchoshaa bure huyo Ollachuga.

Katapotea tena jinsi watakavyotandikwa na RMadrid
 
Anakuchoshaa bure huyo Ollachuga.

Katapotea tena jinsi watakavyotandikwa na RMadrid
Apambane na hali yake kama kweli yeye kidume cha UCL anavyojitapa basi amtemeshe Real Madrid ushindi nyumbani kwake.

Arejee hapa akiwa subiri aidha Kipara ama El Cholo aache maneno matupu sisi tunataka ubao usome mshindi sio bla bla za humu. Ni kesho sio mbali.

Nasubiri tu ntakavyomzomea Ollachuga
 
😂😂😂😂😂
Uzuri liver inashinda mara nyingi kwahiyo full burudani yaani afu yeye anashabikia mitakataka ikiyokwama darajani.
Angalia kesho tunamfanya Nini Madirid..sisi fainal ni uhakika tunasubiri takataka kama liverkuku au takataka yeyote tuichabange...
Sisi ndio Chelsea bwana alaah 😀😀😀💙💙
 
Wakaribie Liverpool chama kubwa😂😂
Waachane na timu za ajabu🤣🤣🤣
Kuliko niwe shabiki wa liverpulu Bora nikanywe zangu wanzuki nilale TU..

Hii utopolo isiyo na mbele Wala nyuma kwanza ingetokea mumepata sunctions kama zetu sisi vidume aise wachezaji wenu wangashagoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom