Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,452
- 32,882
Foden silenced by Trent aisee na bado wanasema hawezi majukumu yake vyema ya kulinda.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko man utd kunachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Washaanza kutuogopa kabla hata ya mechiView attachment 2184812View attachment 2184813
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dakika 90 hizo kwioo! Hatuna uwezo wa kucheza na nyie, labda tuende kujifurahisha tu mkuu pale kwenye dimba lenu la mauaji.
Mo akifanikiwa kupewa mkataba mwingine ,anakwenda kuvunja rekodi ya magoli aliyoweka Steve G hapo Liverpool