Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Saizi unaongea kwa adabu Sasa ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Japo si mshabiki wa hizi timu mbili ila hii game mkuu ilikuwa muhimu kwa pande zote mbili ilikuwa either Man City akufunge aongeze gape la point 4 au umtoe pale juu na of course kutoka draw ni ushindi kwa pande zote mbili.
 
Chelsea bado wanatengeneza timu ambayo Itakuwa ni tishio😀😀
 
City atapoteza dhidi ya wolves
Tutachukua sisi.
Jipeni Tu matumaini [emoji23]Nyie mna mechi ngumu zaidi kushinda city...mna Newcastle, mna Tottenham hii ya Moto, mna Merseyside derby, Wale nyumbu sio mechi ngumu Labda maajabu yatokee.....na hata hvyo city hawezi kupoteza dhidi ya wolves wamekuwa wachovu Sana msimu huu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
We subiri utaona.
 
Wapo wanatufukuzia point 11 ambazo hata wangetenguka viuno hawatupati[emoji23]
 
Ubingwa tumeshapoteza kwa matokeo ya mechi hii ya leo maana ndio ilikuwa inaamua nani bingwa EPL 2022 though maneno yangu yanaweza kukosolewa na mwenendo mechi saba zilizobakia kwa Manchester City
Usiwe mwepesi wa kukata tamaa unaweza kushangaa hata chelsea aka hukua ubingwa [emoji1787][emoji1787]
 
Hii mechi Ilitakiwa mshinde sasa ubingwa city waachie wenyewe, uko mikononi mwao
 
Japo si mshabiki wa hizi timu mbili ila hii game mkuu ilikuwa muhimu kwa pande zote mbili ilikuwa either Man City akufunge aongeze gape la point 4 au umtoe pale juu na of course kutoka draw ni ushindi kwa pande zote mbili.
Sare ni mbaya kwetu kuliko wao.

Klopp kachemka jana au vijana hawakufuati alichosema.

YNWA
 
Tumevamiwa sasa na watu wa nyuzi za MMU [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtakuja kufa na pressure, city weka mbali na watoto.
Lakini uliona kocha wako alivyo mkumbatia Klopp kwa nguvu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alijua kabisa Klopp sio wa mchezo mchezo maana alijua kabisa ile game kushinda ni kazi.
 
Ubingwa tumeshapoteza kwa matokeo ya mechi hii ya leo maana ndio ilikuwa inaamua nani bingwa EPL 2022 though maneno yangu yanaweza kukosolewa na mwenendo mechi saba zilizobakia kwa Manchester City
Aisee mbona unakata tamaa kama mashabiki wa Mwanitesa na Arse8. Position tuliyopo matumaini bado ni makubwa 7 games sio chache 21 points still to fight for. Tungefungwa jana hata mimi ningekubali ubingwa baasi

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…