Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hata mimi nimefurahi ila first half mke wangu alikuwa akinisemesha nimenuna tu macho yote kwenye tv
Kiujumla nimefurahi sana kwa matokeo ya leo hii.

Nadhani kwa jinsi Man City walivyokuwa wa moto tangu kipindi cha kwanza, ni sawa na Liverpool kashinda

Ngoja nizidishe sala kwa mechi 7 zilizobakia labda Man City ataweza kupoteza na Liverpool ikakaa kileleni hadi kuchukua ubingwa.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi nimefurahi ila first half mke wangu alikuwa akinisemesha nimenuna tu macho yote kwenye tv
Huyu Saint Anne atakua anaangalia gemu man alone maana angeshemeshwa muda ule watukamata naona angemparua mtu si bure...

Hakika gemu ilikua very sensitive.

Lakini haikua block buster kama mechi zingine za Liverpool vs Manchester City.

Nategemea kuona FA ikiwa gemu ya ushindani leo imepoa sanaaaaa.

YNWA
 
Madrid tayari hana chake...

Muanze kukusanya kilicho chenu humu ndani maana kuanzia j5 hatutataka kumuona shabiki yeyote wa liverkuku humu.
Mkuu umekosea ku posti hii ni ya kule darajani kwenu.

Sie tushinde.
Tutoe sare.
Tufungwe
Tumooooooo yaaani tumooo hatutoki.

YNWA
 
Huyu Saint Anne atakua anaangalia gemu man alone maana angeshemeshwa muda ule watukamata naona angemparua mtu si bure...

Hakika gemu ilikua very sensitive.

Lakini haikua block buster kama mechi zingine za Liverpool vs Manchester City.

Nategemea kuona FA ikiwa gemu ya ushindani leo imepoa sanaaaaa.

YNWA
Yaani nilikuwa pekeyangu nilijifungia..inaitwa weka mbali na watoto
 
Screenshot_20220410_212232_com.android.chrome_edit_53928182485520.jpg

Not a bad result playing at Ethad and coming back home with a point.

YNWA
 
Yaani nilikuwa pekeyangu nilijifungia..inaitwa weka mbali na watoto
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umeona hujakimbia angalau hujazimia na umeona burudani.

Sasa FA Jumapili tunakwenda kuwachapa kama wale vijana wa Darajani.

Leo kwenyewe walitubania mashabiki wawe kiduchu Ethad lakini Wembley kitaeleweka tu japo tunahitaji Klopp awaambie vijana waamshe tangu dakika ya kwanza sio kama leo walisinzia kazini

Acha kuleta porojo wewe ..huna timu ya kuifunga man shitye
 
Umeona hujakimbia angalau hujazimia na umeona burudani.

Sasa FA Jumapili tunakwenda kuwachapa kama wale vijana wa Darajani.

Leo kwenyewe walitubania mashabiki wawe kiduchu Ethad lakini Wembley kitaeleweka tu japo tunahitaji Klopp awaambie vijana waamshe tangu dakika ya kwanza sio kama leo walisinzia kazini

YNWA
Nilikuwa najificha mpira ukifika golini kwetu.

Kuna muda nikachungulia nikamuona matip wangu anaokoa kwa kutoa nje

Leo hata ningekuwa mimi ningesinzia aisee
Siyo kwa kupigwa dakika ya 5
 
Hahahaha gemu ilikua ngumu sana na plan yetu ilitufanya kua ngumu zaidi.

Otherwise niseme big up kwa ma boys mara mbili wametoka nyuma na kushawazisha hioo pekee inaonyesha ukomavu wa hali ya juu.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom