42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Uchawi huoCity atapoteza dhidi ya wolves
Tutachukua sisi.
Uchawi huoCity atapoteza dhidi ya wolves
Tutachukua sisi.
Tumpe Oxytocin injection kama ana Labour pain, na Tunategemea apate Pre Elampsia tumchome Magnesium Sulphate.Mkuu nikutumie Dicloper?
Naona labor pain inakusumbua.
Wewe pambana kwanza na MadridUchawi huo

Labda wewe wa shity ndo ulikuwa unapata preshaHii game mashabiki wote wa Liverpool vibanda umiza walikuwa wanahema kama wamebanwa na mrango
Walikuwa wanatetemeka hatari .....![]()
Madrid tayari hana chake...Wewe pambana kwanza na Madrid
Nguvu ya kupiga kelele hapa unaitoa wapi??
Umekuwa mtetezi wa city siku hizi?
Hana chake?Madrid tayari hana chake...
Muanze kukusanya kilicho chenu humu ndani maana kuanzia j5 hatutataka kumuona shabiki yeyote wa liverkuku humu.
Wewe kwa Wolves na Westham hauchomokiNyie lazima mtatulia tu
Una game na
Man utd (hii haijalishi united yupo vibaya kiasi gani lakin hapa atawaamkia vzuri )
Spurs ( konte lazima awanyonyoe ndevu kwa kutumia shoka )
Wolves ( Hawa mbwa mwitu hawataacha salama )
Mshukuru Sana var ....hii game tulistaili point 3 kabisa .....
Tukutane FA .......itafahamika tu![]()
Zile za jana zilikuwa ni salamu kwake.Hana chake?
Mbona amekuchakaza ukachakaa
Staili ya high line na offside trap sizikubali kabisa, Zinasababisha watu kukutana uso kwa uso na Allison, kingine ni kina VVD kukabia macho, inaboa sana



yaani nimecheka kweliBado FA, na ole wake asitupe mapacha.Tumpe Oxytocin injection kama ana Labour pain, na Tunategemea apate Pre Elampsia tumchome Magnesium Sulphate.
Duuh yaaani utadhani tulifuata sare pale.Nimeridhika kwa hii sare. Kwa jinsi tulicyocjeza na matlkeo tuliyopata kwa naona ni matokeo mazuri.
Tunaendelea kuwafukuzia mpaka mwisho tuone kama itawezekana.
Kila mtu ashinde mexhi zake.
Utamchomoa nani ulivyochakazwa vileZile za jana zilikuwa ni salamu kwake.
We kaa hapo ila j4 tunawachomoa wote humu ndani.
Hamtaweza hata kuandika chochote kwenye jukwaa lenu.







Mhmhmh ki ukweli kama Manchester City akicheza alivyocheza leo gemu zake zilizosalia niseme hatuna chetu kwenye EPL...
Sijui tunakuwa na wenge ganiTunawachezaji wazuri, tatizo lipo tukiwa tunaanza game tunakuwa tumeflop sana, second half ndio tunarudi mchezoni. Na hii tabia ipo tukikutana na tim ambazo zinakuwa zimetukania mfano Chelsea.

Kupata hii sare mbona kwangu fresh kabisaaaaa yaaani ni kama ushindi.Tunawachezaji wazuri, tatizo lipo tukiwa tunaanza game tunakuwa tumeflop sana, second half ndio tunarudi mchezoni. Na hii tabia ipo tukikutana na tim ambazo zinakuwa zimetukania mfano Chelsea.
Nenda kamfunge kama nyie wanaumeZile za jana zilikuwa ni salamu kwake.
We kaa hapo ila j4 tunawachomoa wote humu ndani.
Hamtaweza hata kuandika chochote kwenye jukwaa lenu.
Hata mimi nimefurahi ila first half mke wangu alikuwa akinisemesha nimenuna tu macho yote kwenye tvKupata hii sare mbona kwangu fresh kabisaaaaa yaaani ni kama ushindi.
Sasa tutegemee another twist ndani ya hizi gemu 7 zilizobakia.
YNWA



Acha ramli jipange kwanza umzime El Cholo kwanza haya mambo ya Liverpool yamekushinda wewe mkali wa wakali huyo Manchester United kibogoyo ataweza wapi.Man utd anakuja kufufukia kwenu najua ndio next game epl
Keep watching