Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,457
- 32,892
Mane is on fire 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥.
YNWA
Kuna namna waafrica wetu wana roho za kipekee [emoji3590][emoji119]View attachment 2178371
Wooow huyu mwamba pamoja na kwamba hachezi lakini kazi za kijamii kama hivi yupo mstari wa mbele.
Big up kwake.
YNWA
Mane wetu jamani [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2178388
Mane is on fire [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91].
YNWA
Kwani timu zinabadilika?Bora ingekuwa hata uefa ila epl mtachapika vibaya mno 😅
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rent boys huku wanapitia mateso...
Chelshit
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona mnashusha kipigo kizito kwa Real madrid [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataka kujua sisi ni nouma kiasi Gani? Leo tumepoteza kwa sababu hiyo Sasa ..kipigo kizito kitashushwa hiyo jumatano hao Madirid na nyie matakataka mamluki mujiandae maana sisi hatuna Cha kupoteza hasa kwenye game za mtoano.
Unajua Nini kitatokea? Kaa kwa kutulia, tunza hii comment.
#CFCforever[emoji170][emoji170][emoji170]
Eti jamaa anasema ndoa ya kiislamu inafungiwa kwao na bintiNaona mnashusha kipigo kizito kwa Real madrid [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti jamaa anasema ndoa ya kiislamu inafungiwa kwao na binti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
On spot MkuuKuna namna waafrica wetu wana roho za kipekee [emoji3590][emoji119]
Hakika[emoji119]On spot Mkuu
wengi wamelelewa in very humble families ndio maana.
YNWA
Budi ametua Darajani maana sasa wanachezea kuanzia 2 kwenda juu.Nileteeeni OllaChuga Oc
Nileteeeni OllaChuga Oc
Nileteeeni OllaChugaaaaaaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2178486
Umemsahau Unai kwenye mashindano ya Uefa ndugu.Mi naomba tukutane na Bayern kuliko hawa Villarreal aisee
Klopp amekataa haaland kuwa hana nafasi kwake kwa sababu ni namba ya ujinga
Villarreal leo hawakuwa na bahati kabisa Moreno kakosa goli nyingi aiseeUmemsahau Unai kwenye mashindano ya Uefa ndugu.
Huyu bwana haya mashindano anayajua Bayern hajafungwo gemu 22 ugenini za UCL lakini leo kapigwa moja tu na bwana weee haijarudi.
YNWA