Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Yaani mpaka huruma ujue.Hakika Everton wakishuka hawa jamaa watakua na maisha magumu Sana...
Sio vyema hawa jamaa wakishuka aisee duuh Lampard ile gemu sikuamini alivyowasuka kuwavaa maana walibana na kucheza kwa mipango kabisaaa.
YNWA
