Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220402_195038.jpg

YNWA
 
Unataka kujua sisi ni nouma kiasi Gani? Leo tumepoteza kwa sababu hiyo Sasa ..kipigo kizito kitashushwa hiyo jumatano hao Madirid na nyie matakataka mamluki mujiandae maana sisi hatuna Cha kupoteza hasa kwenye game za mtoano.

Unajua Nini kitatokea? Kaa kwa kutulia, tunza hii comment.

#CFCforever💙💙💙
 
Duuh mkuu una kifua huna cha kupoteza ndio maanake upigwe goli 4 kwako kwa 1 like serious tena ukiwa kamili...

Hua nakwambia uwe na maneno ya akiba muda mwingi maana hii EPL hua ina matokeo usiyotegemea kabisa.

YNWA
 
Unataka kujua sisi ni nouma kiasi Gani? Leo tumepoteza kwa sababu hiyo Sasa ..kipigo kizito kitashushwa hiyo jumatano hao Madirid na nyie matakataka mamluki mujiandae maana sisi hatuna Cha kupoteza hasa kwenye game za mtoano.

Unajua Nini kitatokea? Kaa kwa kutulia, tunza hii comment.

#CFCforever
Mbona unaandika huku unatetemeka
 
Unataka kujua sisi ni nouma kiasi Gani? Leo tumepoteza kwa sababu hiyo Sasa ..kipigo kizito kitashushwa hiyo jumatano hao Madirid na nyie matakataka mamluki mujiandae maana sisi hatuna Cha kupoteza hasa kwenye game za mtoano.

Unajua Nini kitatokea? Kaa kwa kutulia, tunza hii comment.

#CFCforever
Unaongea kama unaipozapoza hv.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom