Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255



huo ukuta



huo ukuta
Labda mbebwe na kupewa penalty hewa kama ya Watford vinginevyo mtajua hamjuiView attachment 2177269
Pain killer huyu ndio anakuja kukuzima hapo hapo Ethad maana ushalegea.
Nikukumbushe tu tunakutana mara 2 mwezi huu wa April (EPl na FA) hivyo uwe na utulivu maana ndio kwanza asubuhi ujue.
YNWA





J2 usipotee humuLabda mbebwe na kupewa penalty hewa kama ya Watford vinginevyo mtajua hamjui![]()
Ngoja tuamie man city kwa muda, Kila la kheri kwake man shitye ..Yani ni mwendo wa kuwasagia kunguni TU, Hawa benfica wameshachafua Hali ya hewa takataka hawa.Leo ulisema utasimama na Benfica
Haya sasa..chali![]()
Atletico kuwafunga sio Kaz nyepesi aisee , najua mnajua alichowafanyaga kipindi kilee







KabisaAmin hakika Saido Mane ni pure African boy...
Hana makuu down to earth guy.
YNWA
Ngoja tuamie man city kwa muda, Kila la kheri kwake man shitye ..Yani ni mwendo wa kuwasagia kunguni TU, Hawa benfica wameshachafua Hali ya hewa takataka hawa.
Kwanza Wana laana walishalogwaga uko kitambo na kocha wao mmoja hivi myahudi.
Kwa Sasa Kambi ni man city ..oyaa Pain killer tuko pamoja mwanakwetu ..jumapili sijui jumamosi piga hizi kuku BAO tatu Safi..
Come on Shitye..
#manShityeNguvuMoja![]()









Hujui hata timu yako itachezea wapi umekalili anfield tuLiverpool
Anflied
Man City tutawanyeshea mvua mkubwa sana




Mimi nasema hivi nyie Liverpool msipobebwa jumapili tunapiga goli zaidi ya nne (4) sijaona uimara wenu wa kutuzuia ....labda mpewe penalty za michongo tu ....!J2 usipotee humu
Hao watford tufanye tumefuta penalt.
Bado tulishinda.
Unajifariji mzeeKwa performance ya Leo nasema tena leteni Hilo jogoo Etihad tulimangeee![]()
Kama nyie mnavyopewaga penati za magumashi ile vs wolves na game ya Everton mlipewa ushindi wa mezani kabisaMimi nasema hivi nyie Liverpool msipobebwa jumapili tunapiga goli zaidi ya nne (4) sijaona uimara wenu wa kutuzuia ....labda mpewe penalty za michongo tu ....!
Ramli expertMimi nasema hivi nyie Liverpool msipobebwa jumapili tunapiga goli zaidi ya nne (4) sijaona uimara wenu wa kutuzuia ....labda mpewe penalty za michongo tu ....!
Dogo anakila sababu ya kuja kuwa
Citizen tusimpe hata draw, tuchukue zote 3 ili aongeze panik. Nawaza EPL kuliko makombe mengine.Kashavurugwo anawaza Jumapili itakua aje.
Sie wala hatuna neno tunakwenda na gemu moja moja hatuna kuwaza kingine...
Kesho vijana warejee salama Anfield kuanza maadalizi ya Jumapili blockbuster game pale Ethad.
YNWA
Citizen tusimpe hata draw, tuchukue zote 3 ili aongeze panik. Nawaza EPL kuliko makombe mengine.