Chalii ya chuga imekimbilia jukwaa la kula kwa masihara. Kweli tuchelewe anawachelewesheHahahaaaaaView attachment 2178526
Mi naomba tukutane na Bayern kuliko hawa Villarreal aisee
Mi naomba tukutane na Bayern kuliko hawa Villarreal aisee
Hawa Everton wanatakiwa washuke kabisa yaani hawastaili kuonewa huruma hata kidogo.
Jamaa kanichekesha kinomaChalii ya chuga imekimbilia jukwaa la kula kwa masihara. Kweli tuchelewe anawacheleweshe
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app


