Dogo anapiga na miguu yote miwili na yupo chap kama umeme yaaani huyu chini ya Klopp niseme Sky is the limit.Dogo anakila sababu ya kuja kuwa [emoji93]
Imagine ameshatishia namba kwa mane, takumi, Jota , Origi, Bobby kwa muda mfupi tu hivi.
Aisee nacheka kwa dharau Sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huyu nae anakuwa kama mgeni kwenye mashindano hayo? Au amevurugwa?
Maana iko wazi kabisa kule lazima atletico atafute goli la mapema sana city muda wote wanatakiwa kuwa mchezoni wajiangalie wakifungwa goli mapema jamaa wanarudi kuwapiga counter safari hii wanatafuta magoli hawakai 10 nyuma.
Jamaa anafikiri anacheza na Nottingham forest hapo kwamba Nottingham anakuwa anamuogopa anakaa nyuma tena, halafu yeye ndio ache mpira peke yake,hiyo ni uefa kila mtu hapo ni bingwa na anauwezo.
Halichofanya Simeon namuunga mkono kabisa maana kuna timu zinafanya zinajua zinataka kumaliza mechi round ya kwanza tu wakiwa nyumbani dawa yao ndio hiyo weka kumi nyuma wote ukiwa ugenini.halafu wakija nyumbani kwako lazima watakuwa wapole tu ndio mcheze mpira sasa.
"ataanza game kwa kukuwashia moto mpaka apate goli 1 tu then apark bus kusubili counter attack". Najua mna maumivu makubwa Sana jeraha alilowapa semion hapo anfield Bado linawatesa na Bado hamuamin kuwa man city kashamiweza semion na tunaenda kumtoa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hivi unadhani Atletico ataanza tu game kwa kupaki basi?
Ataianza game kwa kukuwashia moto mpaka apate goli 1 tu then atapaki Basi avizie Kaunta.
Mkuuu hivi kama unaakili timamu naomba uangalie kama hio picha hapo huo ni mkono au mguu ulioshika mpira ,mtakufa kwa kuedit mpaka mkome [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yaaani Everton wakishuka daraja nakuhakikishia yule Refa wa ile mechi ahame nchi maana watamsaka popote alipo..
View attachment 2177524
Huu ndio ushindi wa mchongo ulikua na kuna VAR bure kabisaaaaaa.
Tangu mechi ile Everton hawajawai kua sana tena ni kama iliwavuruga mahala yaaani.
Referee alikua Paul Tierney na VAR alikua Chris Kavanagh wote hawa wana deni kubwa na hofu kubwa pale Everton
Hawa hapa
Paul
View attachment 2177532
Chris
View attachment 2177533
YNWA
Simeion kafanya Nini Sasa pale ,,,kashafungwa Bado unasema unamuaminia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] daaa endelea kuteseka mkuuHuyu nae anakuwa kama mgeni kwenye mashindano hayo? Au amevurugwa?
Maana iko wazi kabisa kule lazima atletico atafute goli la mapema sana city muda wote wanatakiwa kuwa mchezoni wajiangalie wakifungwa goli mapema jamaa wanarudi kuwapiga counter safari hii wanatafuta magoli hawakai 10 nyuma.
Jamaa anafikiri anacheza na Nottingham forest hapo kwamba Nottingham anakuwa anamuogopa anakaa nyuma tena, halafu yeye ndio ache mpira peke yake,hiyo ni uefa kila mtu hapo ni bingwa na anauwezo.
Halichofanya Simeon namuunga mkono kabisa maana kuna timu zinafanya zinajua zinataka kumaliza mechi round ya kwanza tu wakiwa nyumbani dawa yao ndio hiyo weka kumi nyuma wote ukiwa ugenini.halafu wakija nyumbani kwako lazima watakuwa wapole tu ndio mcheze mpira sasa.
Rudi nyuma ka edit vzuri mkuu ,unazidi kuonesha ujinga wako hadharani na kila mtu humu anakuona mamruki tu ......angaliaa hapo kama huo ni mkono mlioweka au mmeedit mpaka mkasahau[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kuku ni kuku tu walahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaani Everton wakishuka daraja nakuhakikishia yule Refa wa ile mechi ahame nchi maana watamsaka popote alipo..
View attachment 2177524
Huu ndio ushindi wa mchongo ulikua na kuna VAR bure kabisaaaaaa.
Tangu mechi ile Everton hawajawai kua sana tena ni kama iliwavuruga mahala yaaani.
Referee alikua Paul Tierney na VAR alikua Chris Kavanagh wote hawa wana deni kubwa na hofu kubwa pale Everton
Hawa hapa
Paul
View attachment 2177532
Chris
View attachment 2177533
YNWA
"ataanza game kwa kukuwashia moto mpaka apate goli 1 tu then apark bus kusubili counter attack". Najua mna maumivu makubwa Sana jeraha alilowapa semion hapo anfield Bado linawatesa na Bado hamuamin kuwa man city kashamiweza semion na tunaenda kumtoa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji28]nacheka kwa dharau Sana nikiona hii comment "et atawasha moto mpaka apate goli 1 " too emotional yaani inaonekana huamini kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usha panic sana Mr Citizen.Mkuuu hivi kama unaakili timamu naomba uangalie kama hio picha hapo huo ni mkono au mguu ulioshika mpira ,mtakufa kwa kuedit mpaka mkome [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwamba hata Mwajili wa Marefa UK hakuwaomba msamaha Everton kwa maamuzi sio sahihi kunyimwa ile penati wewe haya jitoa ufahamu haya yote wala sio mimi ama Liverpool yapo well documented mahala sahihi ni rekodi zipo.Rudi nyuma ka edit vzuri mkuu ,unazidi kuonesha ujinga wako hadharani na kila mtu humu anakuona mamruki tu ......angaliaa hapo kama huo ni mkono mlioweka au mmeedit mpaka mkasahau[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kuku ni kuku tu walahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa performance yetu kule Lisbon kwa kweli tupo tayari kwanza sina uhakika kama Wanda mtatoka salama.Kwa performance ya Leo nasema tena leteni Hilo jogoo Etihad tulimangeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe dawa yako NI Brentford,[emoji1787][emoji1787]Aise mukishinda Yani napata makasiriko ballaa ..Yani daah ..sisi ndio dawa yenu nyie kuku..[emoji34][emoji34][emoji34]
Mkuu hao atletico tulikuwa kundi moja mechi zote mbili tumewafunga yaani nje ndani tumejipigia.
Hakika Everton wakishuka hawa jamaa watakua na maisha magumu Sana...Yaaani Everton wakishuka daraja nakuhakikishia yule Refa wa ile mechi ahame nchi maana watamsaka popote alipo..
View attachment 2177524
Huu ndio ushindi wa mchongo ulikua na kuna VAR bure kabisaaaaaa.
Tangu mechi ile Everton hawajawai kua sana tena ni kama iliwavuruga mahala yaaani.
Referee alikua Paul Tierney na VAR alikua Chris Kavanagh wote hawa wana deni kubwa na hofu kubwa pale Everton
Hawa hapa
Paul
View attachment 2177532
Chris
View attachment 2177533
YNWA
We ndo hauna akili timamu maana umeshindwa kuielewa hiyo picha inamaanisha nini...Mkuuu hivi kama unaakili timamu naomba uangalie kama hio picha hapo huo ni mkono au mguu ulioshika mpira ,mtakufa kwa kuedit mpaka mkome [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]