Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tupo kamili kwa mara ya kwanza kwenye eneo la kiungo, karibuni naimani tuta raise game kama dhidi ya city,

Last time tulipo wafunga zile 4 bila mlikuwa kwenye form hatari, ilikuwa baada yakufungwa Na city na chelsea,hamkufungwa tena kwenye mechi 8 mfululizo kwenye ligi mkashinda mechi 6 Mechi mbili mkatoka sare mlivyokutana na Liverpool mkala goli 4 hizo.
 
Nyie ndio mnahangaika kama wafia maji ...sipati picha siku mkikaa pale juu

4 clear point top of the table ..kama mnaweza tufuaten Mimi sijali sijui mnagame sijui hamna ...
Nilisema humu… you are very naive

Liverpool is bigger, organized and purposeful

A couple of months ago tulikua 14 points behind

Wakati unateseka, take time kujifunza historia ya epl na English soccer Kwa ujumla
 
Nilisema humu… you are very naive

Liverpool is bigger, organized and purposeful

A couple of months ago tulikua 14 points behind

Wakati unateseka, take time kujifunza historia ya epl na English soccer Kwa ujumla
Liverpool is bigger ,organized and purposeful wakati miaka 30 mnacheze nafasi 7&8 Europa tu mlikuwa mnaisikiliza kwenye Bomba mmekuja kuibuka 2019 nyie
 
Liverpool is bigger ,organized and purposeful wakati miaka 30 mnacheze nafasi 7&8 Europa tu mlikuwa mnaisikiliza kwenye Bomba mmekuja kuibuka 2019 nyie
Where were you before Arab money?

Well I have been supporting LFC since 1980s….

Again, jifunze historia ya city… I have seen city relegated twice while we were winning fa, league cup, ucl, yuropa, super cup etc. city Hana European glory… in their hero wall wana watu kama
Vincent kompany, aguero etc because they have no history

Hivi vitoto vya timu mpya need some evening classes about football
 
Where were you before Arab money?

Well I have been supporting LFC since 1980s….

Again, jifunze historia ya city… I have seen city being relegated while we were winning fa, league cup, ucl, yuropa, super cup etc.

Hivi vitoto vya timu mpya need some evening classes about football
Ohooo 1980 ....

 
We are watching kwetu imeisha sare kipara akinuna vipi huko TV ya Ethad mechi ni saa ngapi tuangalia hizo 5.

Upepo umekata ndugu .

Pale panaitwa Selhurst Park muulize Surez atakwambia 2014 nini kilimpata akituumiza dogo Gayle.

Yaaani ubora wa EPL ndio huu matokeo ya mfukoni hamna kabisa.

YNWA
Mkuu Captain Marvelous kipara anaendelea kutuwekea upenyo tupite, wasiwasi wangu ni game dhidi ya NYUMBU ni muda sahihi wa kulipa alichotufanyia kipara 2018/2019.
 
Screenshot_20220315-073444~2.jpg
 
Mkuu mtu kama huyo sio wakubushananae yaani utambe Epl hapo ligi gani usicheze.utambe Epl harafu watu waseme wewe hujui duh,hicho kichekesho cha mwaka .

Ukionekana epl wewe unajua tu,sema magoli anayofunga wanaona kama rahisi lakini wengine mbona hawafungi?

Record ya kufunga magoli mengi ndani ya msimu mmoja hapo Epl huyo mtu ni hatari sana,tusichulie poa kabisa.
Hahaha bhana dogo Salah ana medali ya UCL, WCC, Super Cup, EPL na Carabao na haringi wala nini yeye ni kazi kazi.

Msimu huu ndio kabisa kiatu cha ufungaji hana wa kumsogelea pamoja na kwenda Afcon karudi na moto ule ule alipoishia.

YNWA
 
Mkuu Captain Marvelous kipara anaendelea kutuwekea upenyo tupite, wasiwasi wangu ni game dhidi ya NYUMBU ni muda sahihi wa kulipa alichotufanyia kipara 2018/2019.
Mkuu BARDIZBAH jana ulitazama mechi?
Wachezaji wa Manchester City wame panic duh kumbe Liverpool akikufujuza sio small issue kama wengine wanavyodhani kuna muda kipindi cha pili Debruyne aliwafokea wenzie balaa 😂😂...

Sie hayatuhusu.

Jana Kipara kapoaa mpaka akasahau kuna sub ya wachezaji.

Tukumbashane kuna kipindi walituacha pointi 13 😳😳😳😳😳😳 na sasa on paper ni pointi 1.

Hizi gemu Kipara watazidi kumnyoa nywele.

Bado ana gemu ngumu sana na Westham, Brighton, Aston Villa, Newcastle na Wolves hapo nategemea moja atatoa sare ama kipigo. Hii ndio raha ya EPL.

Kipara anamuiga Klopp mambo ya false 9 😂😂😂yamemkuta yaaani Juni 2022 naona straika mapema sana anatua.

Sasa tukamilishe kazi kwa kuwafunga Arsenal ndio kabisaaaa Kipara atakosa na usingizi.

Kwa sasa hakuna timu ya kututisha ndugu just relax maana pazuri ni kwamba hata tunae mkimbiza nae anakamatika. Hivyo we can still afford to lose 1 na bado tukaamsha nae mpaka siku ya mwisho.

YNWA
 
Tumecheza mpira mkali Sana ,Mimi nasema hivi team yetu Bado iko imara ....japo tumeflop lakini tutapambana hivo hivo Hadi mwisho wa games ...!


Kama nyie mnaona mshanyanyua kombe na mnyanyue
😂😂😂😂😂😂😂Wala huko Mei 22 bado mbali sana lolote linaweza kutokea.

Wenzako hatuwazi ubingwa tena.

Tunawaza next gemu ni Arsenal kesho hivyo.

Tunachukulia one game at a time mdogo mdogo mpaka mwisho.

Haya mambo ya ubingwa ndio yanawavuruga Ethad mpaka Kipara anasahau kufanya sub na akina Kevin waki panic.

YNWA
 
Mzee ni zamu yenu Sasa Kuchukua epl .....nendeni mkachukue njia ileeeeee
Aaaaa sio rahisi ki hivyo bhana bado mpo vizuri jana tu hamkua na bahati.

Tukisema wakati mwingine bahati ipo nadhani sasa utaelewa.

Ile gemu ya Inter Milan Anfield hatukua na bahati mpaka ikawa vile.

Kipara sasa atakula baadae breakfast na Mikel kumpa mbinu za kutufunga kesho maana bila msaada kwa wengine sioni akituzima.

Binafsi niseme Big Up kwa Spurs, Southampton, Crystal Palace wamefanya kazi powa kabisaa kuku stopisha.

Hapo Ethad mpaka natua upo uwezekano nitakua naongoza ligi 😂😂😂😂. Aisee.

YNWA
 
Liverpool mwenyewe huwa anashinda kwa mawenge kwamba ile fixture yenu ndio ya kujihakikishia point 3 kila game 😅😅😅ni swala la muda tu ....Bado matchi 9 ila safari Bado ndefu sana ...!
 
Liverpool is bigger ,organized and purposeful wakati miaka 30 mnacheze nafasi 7&8 Europa tu mlikuwa mnaisikiliza kwenye Bomba mmekuja kuibuka 2019 nyie

Dah! Wejamaa unashangaa miaka 30 bila ya EPL?

Kwani Man City before oil money mulikaa miaka mingapi? Half Century???
Ok achana na EPL hata hizi Mickey mouse Cups before oil money mulikaa miaka mingapi bila ya kuvigusa?
Liverpool ilikaa miaka 30 bila ya EPL lakini katika kipindi hicho imebeba Uropa na 2 Big ears (UCL 2005 & 2019).
Hii inamaana hata wakati tumepoteana still tulikuwa bora na well organized kuliko nyinyi kipindi hichi ambacho Muna oil money.

Jifunze kuwaheshimu wakubwa zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom