Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Top 10 earners currently:
1)Messi: +900k
2)Neymar: +800k
3)Suarez: 575k
4)Bale: 500k
5)Mpappe: 410k(real offering +800k)
6)Ronaldo 385k
7)Debryne 385k
8)Degea: 365k
9)Griezman: 356k
10)Lewandowski 350k

Salah currently: 200k 🚶🚶🚶🚶🚶 what is a fair contract according to a Liverpool supporter? Or should he go like Suarez and get his money?😂😂
 
Mpaka mnakutana na man utd tayari watakuwa kwenye form nzuri na wanapigania top four kwa nguvu zote ....

Ndio mtajua kwanini Cr 7 ana ballon d'or 5
Acha Ramli wewe,
Kipara anahamanika hivi sasa Amesha ona ile runup ya 2018/2019 imemgeukia tena . Sasa ngoja nikupe siri ninyi mlichukua EPL kwa difference ya point moja , sisi tutachukua kwa Goal difference ili muumie vizuri zaidi.
 
hii game mnakalishwa mapema tu saivi arse8 yuko moto ..Subiri sisi tushinde mechi zetu. Taratibu tunarudi tulipotoka.

Sisi kwa sasa ni ushindi tu
Hivi kuna gemu ulisema Liverpool leo mnashinda au gemu zoteee kwako sisi ni kipigo ajabu mdogo mdogo tunatoka kideadea.

Itakua gemu laki sana nina imani tunaodoka Emirates na pointi 3.

Kesho Arteta atakua na kazi 2 kwanza kusaka ushindi ya pili kumpa favour kipara.

YNWA
 
Aende tu Man city na watatunyoosha kweli kweli
Hao wanaoarrange hiyo mikataba ni wajinga sana.
Na wakishindwa kumuongezea mshahara akaondoka basi hii timu itaakiona Cha mtema kuni .
Wajinga hao,vijana wanajituma lakini hawaoni umuhimu wao..huko man u wanashinda kucheza rede mazoezini ila wanalipwa Hela za kutosha..sisi vijana wanataka kuvunja Hadi viuno ila hela za kuwalipa zinawauma sana.
Hahahaha pale Liverpool kwa sasa ma Scouser ni Jones, TAA na Elliott hawa bwana wanasemaga for the love of the badge wanakua inclined kutulia Liverpool mazingira yakiruhusu design kama Gerrard, Carragher nk sasa hao wachezaji wengine wao badge kwao sio hoja mbali wapo ki ajira ama kimpunga zaidi na kinachowasukuma ukiachana ni kuelewa vyema project ya Klopp ni pesaa kama pesaaaaa.

Ngumu sana zaidi ni pale umri wa mchezaji husika upo around 30 yaaani hapo ishu za mshahara na mikataba Liverpool hua kuna sintofahamu nyingi sana.

Kwa Salah yetu macho. Kashasema maamuzi yapo mkononi mwa FSG na Klopp nae kasema maamuzi yapo mkononi mwa Salah 🙆🏿🙆🏿mpaka hapo kila mmoja anasema lake. Sie tuagize pop corn kipindi hicho tuone mambo yatakavyokua ikifika aidha June 2023 ama kabla.

YNWA
 
hamuna hata ela ya kumlipa Salah ..Ndio mungepata matatizo kama yetu kweli mungesavaivu hata ndani ya week?

Sisis ndio Chelsea bwana, tunaendelea kutowa vipigo kama hakuna kilichotokea vile.
😂😂😂😂😂Salah mchukueni kama kweli mtakua na kiburi tena sokoni maana hamna tena sapoti ya Roman soon mtageuka Tottenham nyie wewe subiri tu.

YNWA
 
tupo kamili kwa mara ya kwanza kwenye eneo la kiungo, karibuni naimani tuta raise game kama dhidi ya city,

Mkuu last time nakumbuka tulitoka sare pale anfield,ukasema Mechi ya marudiano mtashinda maana partery atakuwa amerudi kutoka afcon na viungo wengine watakuwa wamepona korona mtatufunga cha ajabu mkaambulia za uso.

Liverpool iliyowafunga 2 bila mara ya mwisho pale uwanjani kwenu haikuwa na salah wala mane,wote walikuwa afcon.

Hamna timu ya kuisumbua Liverpool nyie kwa sasa.pigeni kelele tu.uzuri Liverpool wachezaji wake wote wapo fit hawana majeruhi hata mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom