Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Asante PV na Vijana wako

shot_2022-03-15_00-55-20.jpg
 
Salah hana maajabu yyte sema tu anacheza timu yenye viungo wapishi wengi akiondoka Anfield ndio utakuwa mwisho wake, ukitaka kuamini angalia mechi za Egypt
Duuh kwa hii EPL mchezaji anapiga goli 20+ kwa misimu mitano mfululizo na ma assist kama yote unasema hana maajabu yoyote aisee haya nyie wenye Lacazate mwenye maajabu mnashiriki UCL kila msimu na makombe kibao.

Sie tunaridhika kabisa na huyu Salah wa kawaida wala hatuna neno nae akipenda amalizie maisha yake ya soka hapa hapa ni sawa.

Nwei hilo la mfumo wa Klopp kumpa platform ya haya mafanikio upo sahihi japo pia namba zake Roma na Fioretina hazikua mbaya sana.

YNWA
 
Huyu crystal palace Leo atajuta kuingia uwanjan ...tunampiga sio chini ya goli 5 ....

Keep watching
We are watching kwetu imeisha sare kipara akinuna vipi huko TV ya Ethad mechi ni saa ngapi tuangalia hizo 5.

Upepo umekata ndugu 😂😂😂😂😂😂.

Pale panaitwa Selhurst Park muulize Surez atakwambia 2014 nini kilimpata akituumiza dogo Gayle.

Yaaani ubora wa EPL ndio huu matokeo ya mfukoni hamna kabisa.

YNWA
 
We are watching kwetu imeisha sare kipara akinuna vipi huko TV ya Ethad mechi ni saa ngapi tuangalia hizo 5.

Upepo umekata ndugu .

Mzee ni zamu yenu Sasa Kuchukua epl .....nendeni mkachukue njia ileeeeee
 
We are watching kwetu imeisha sare kipara akinuna vipi huko TV ya Ethad mechi ni saa ngapi tuangalia hizo 5.

Upepo umekata ndugu .

Pale panaitwa Selhurst Park muulize Surez atakwambia 2014 nini kilimpata akituumiza dogo Gayle.

Yaaani ubora wa EPL ndio huu matokeo ya mfukoni hamna kabisa.

YNWA
Tumecheza mpira mkali Sana ,Mimi nasema hivi team yetu Bado iko imara ....japo tumeflop lakini tutapambana hivo hivo Hadi mwisho wa games ...!

Kama nyie mnaona mshanyanyua kombe na mnyanyue
 
Duuh kwa hii EPL mchezaji anapiga goli 20+ kwa misimu mitano mfululizo na ma assist kama yote unasema hana maajabu yoyote aisee haya nyie wenye Lacazate mwenye maajabu mnashiriki UCL kila msimu na makombe kibao.

Sie tunaridhika kabisa na huyu Salah wa kawaida wala hatuna neno nae akipenda amalizie maisha yake ya soka hapa hapa ni sawa.

Nwei hilo la mfumo wa Klopp kumpa platform ya haya mafanikio upo sahihi japo pia namba zake Roma na Fioretina hazikua mbaya sana.

YNWA

Mkuu mtu kama huyo sio wakubushananae yaani utambe Epl hapo ligi gani usicheze.utambe Epl harafu watu waseme wewe hujui duh,hicho kichekesho cha mwaka .

Ukionekana epl wewe unajua tu,sema magoli anayofunga wanaona kama rahisi lakini wengine mbona hawafungi?

Record ya kufunga magoli mengi ndani ya msimu mmoja hapo Epl huyo mtu ni hatari sana,tusichulie poa kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom