Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Mimi kama Shabiki wa Salah nitasimama na salah wamlipe anacho stahili, pia itaniuma sana akiondoka, wale wanao sema sijui aliondoka Suarez, mara Coutinhoo kiukweli waache kujichetua. Salah katufikisha hapa tulipo sasa na kwamsim huu kwakuwategemea akina Takumi, Firmino isingesaidia aisee ila kijana ni mpambanaji sana.
Achana nae huyo mshabiki wa manchester,anataka kutugombanisha na salah.
Hakuna watu wa Liverpool ambao hawampendi salah. Kila mtu anataka salah abakie ata salah mwenyewe anataka kubaki Liverpool,kwasababu tunampenda sana na hata baki kuwa mioyoni mwetu daima.
Hao mashabiki wa Manchester kuanzia lini wakampenda salah kushinda sisi Mashabiki wa Liverpool?
Mkuu achana nae huyo tushangilie ushindi.



