Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Kwanini useme asingedaka?Penalt ni kama kucheza kamali vile, why nasema hivyo stats zinambeba kepa kwenye pena kuliko mendy,
Refer super cup vs villareal,
Carabao cup vs southampton n aston villa zote hizi kepa ndio aliamua
It happens penalt hazina mwenyewe even John Terry aliwah miss penalt muhim kuliko hata ya kepa
Hiv vitu huwa vinatokea, na hakuna guarantee kwmba mendy angedaka hata penalt moja
Angedaka mendy then asingedaka hata moja tungerufi kusema why hakumuweka kepa wakat kepa ni mzuri kwenye penalt
Siku zote bahat huwa haiko upande wako, jana tulikuwa hatuna bahati tu
Angedaka je?

