Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Whats a man.
A light for the club.
The present, the future, the past lets enjoy the moments the German with a big smile is creating for us.
My goodness hii timu inatupa raha sana.
YNWA
FA pia tubebe yaani huu msimu tusiache kitu.View attachment 2134264
FA Cup here we come, naona tunaweza kutana na Tot na Everton, sioni wa kutuwekea kiwingu hadi kuingia Final.
YNWA.
Wamependeza mno😍❤️❤️👌
Tuishi humu❤️✊View attachment 2134300
Whats a man.
A light for the club.
The present, the future, the past lets enjoy the moments the German with a big smile is creating for us.
My goodness hii timu inatupa raha sana.
YNWA
Trent wetu🥰
Tupo vizuri mnoooo,
Ila Kepa fundi sana aisee,,
Ukipangwa umkabe huyu dogo unaweza Kuta hasira inakubana unamtandika na vibao ,,anavyowapeleka mchakamchaka🤲View attachment 2134277
Huyu Mwamba sio wa kawaida.
Gemu 6 tu yupo moto hivi duuh whats a bargain.
MOTM ilimfaa sana jana.
YNWA
OllaChuga Oc njoo huku anakuita Madam Liverpool 🤠🤠🤠🤠🤠Tupo vizuri mnoooo,
Anayebisha aje tumnyooshe
Juzi katoka sub tu na Chelsea wakaanza kushambulia kwa kasi. Aliwa pin sana mpaka anatoka walishukuru.Ukipangwa umkabe huyu dogo unaweza Kuta hasira inakubana unamtandika na vibao ,,anavyowapeleka mchakamchaka🤲
Kwani Kwenye UEFA huyo Chelsea alikufanyaje ndani ya dakika 90?Yaani Chelsea anawasumbua na kuwapeleka 120 ,huyo Chelsea tungemkaanga na kumsosomola na kachumbali ndani ya dakika 90 tu ...