Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
YNWA
Chelsea hii waliochukua ucl Kwa kuwapiga city sio?Yaani Chelsea anawasumbua na kuwapeleka 120 ,huyo Chelsea tungemkaanga na kumsosomola na kachumbali ndani ya dakika 90 tu ...
Anasema Kwa jana it was emotions against football and emotions wonView attachment 2133826
Klopp is lucky.
Ila huyu mzee has some balls yaaani anaweza aje kumwazisha Kelleher mpaka mwisho fainali. Haha Klopp i salute you man.
Sasa Carvalho atue tu ameona kwa vitendo Klopp ana imani na vijana chipukizi.
YNWA
YesTuna gemu katikati ya wiki FA vs Norwich na Wekedi EPL tupo na Westham mechi ngumu kwetu wazee wa kaunta wale.
Vijana wapumzike leo kesho tena waanze maadalizi hatuna muda wa kupoteza.
YNWA
That the best way to repay Klopp performing beyond expectation.Anasema Kwa jana it was emotions against football and emotions won
So kelleher started and won it
Diaz, Salah, Fabinho, Matip wapumzike kwa kweli.Yes
Itabidi madogo watuwakilishe fa
Sijaona hata kidogo Lukaku kazidi zaidi ya mlinzi wa Liverpool lakini nikashangaa wamekataa goal hata leo TT kalalamika imekuaje ile sio goalNaonaga hizi fainali VAR inakua makini hata kwa theluthi ndogo tu basi offside yaaani.
YNWA
Kwani lile lilikuwa si halali?Mkuu fungeni magoli ya kihalali sio kulilia magoli.
Timu yenu haina wafungaji .hakuna magoli ya kupewa.
Huyo ni mshabiki wa team sio mpenzi wa soka kiujumla kubishana nae nikupoteza mudaInawezekana nimepoteza kumbukumbu lakini hebu nikumbushe! Hawa Chelsea si ndiyo waliobeba UCL mbele yako tena ndani ya dakika 45 za kwanza?
Sasa unakosaje Shukurani kwa aliyekulipizia Kisasi?
Salah was off janaDiaz, Salah, Fabinho, Matip wapumzike kwa kweli.
Taikumi, Origi, Ox, Jones, Milner, Morton nk wanawamudu Norwich vyema kabisa.
YNWA
Uoni hapo kwa nakosa hayo liverpool ndio wamefaidika zaidi? hiv unadhani keita angekula red card game ingekuajeSababu ni moja kati ya hizi 2:
1) Refa hakutafsiri sahihi sheria ya Offside.
2) Sheria ya Offside imebadilika lakini hatujapata update.
Lakini siamini kama Refa Jana alikuwa upande wa Liverpool kwasababu:-
- Kuna Mpira aliupiga Salah ukamgonga Covasic kwenye Mkono, hapo Refa angekuwa upande wetu basi angeweza kutuzawadia Tuta kiulaini tu bila ya lawama yoyote lakini Kapeta.
Kwa Mtazamo wangu Refa jana kafanya Makosa 3 tu makubwa, mengine ya sijui mtu kavutwa jezi hayo naachana nayo:-
1) KOSA LA KWANZA:
- Faulo aliyoifanya Keita ilikuwa ni Red Card na si Vinginevyo kwani kacheza Serious Foul kwa kukusudia.
2) KOSA LA PILI:
- Goli la Lukaku lilipaswa kukubaliwa.
3) KOVASIC KUSHIKA:
- Mpira alioupiga Salah na ukamgonga Kovacic kwenye mkono ulipaswa kuwa Penalty wapewe Liverpool lakini Refa Kapeta.
👉 Hivyo kwa makosa hayo ya pande zote yamefanya kubalance mchezo kwani wote wameathirika na wote wamefaidika.
NB: Vikosa vidogovidogo nimefanya negligible
Keita was not a red cardSababu ni moja kati ya hizi 2:

Keita was not a red card
And goal la matip was clear goal

duh Duh duh
Wa Berlin ulivunjwa, huyu ni Great Wall of China
No wonder u call urself janjaweedDuh duh
Naby red card?
That shit was funny