Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220227_224418.jpg


Scouser katika ubora wake.

Mlimuona alivyomjia juu Rudiger haha.

YNWA
 
Another one! 2022

Liverpool hold the record for the most EFL Cup titles, with nine victories in the competition. Liverpool's wins include four consecutive titles from 1981 to 1984, while Manchester City's, who have won eight times, include four consecutive titles from 2018 to 2021.

Once again England's Finest
 
View attachment 2133381
Nuff respect kwa huyu dogo.

Hakika namba 23 ipo kwa mtu sahihi.

Alivyotoka tu Chelsea kwa kweli waliamsha mno.

YNWA
Huyu dogo akiwa updated zaidi ya hapo atakuwa monster aise, aongeze pumzi zaid naona leo pumzi ilimzimikia kuna muda.
All in all anastahili kila safa aise na tumelamba dume hapa.
 
Baadala ya kuwaza nani atawalipa mishahara na posho zenu we unawaza fainali nyingine, labda 2025.
So long brother, time for regime change
Asante mkuu,

Hopeful tutakutana tena kwenye fa cup or uefa

Hongeren Liverpool
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom