Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna mtu mwenye swali.

Kelleher si mchezo.

YNWA

Ukitoa Liverpool, Chelsea, Man City, pengine na Manure huyu Kelleher ana uhakika wa kucheza golikipa namba 1 timu zote zilizobakia, Hivyo tuna kazi kubwa ya kumbakisha hapa Liverpool huyu Dogo, lazima Klopp atumie ujanja wa kumgaia Dakika za kutosha au amtoe kwa Mkopo aende akacheze kikosi cha kwanza! Vyenginevyo anaweza kudai kuondoka ili apate muda wa kucheza.
 
Aisee haya maneno alisema majuzi Pep Lijnders. Je atabaki mpaka lini akiwa namba mbili wa Allison.

Dogo ni levo zingine na ni dhahiri sasa Karius na Adrian safari yao imeiva Juni 2022.

Sijui Klopp afanya aje huyu mu Irish kumbakisha klabuni ni hazina tosha kwetu. Timu yao ya Taifa ni chaguo la kwanza hivyo kwa vyovyote vile lazima kwenda mbele awe timu anakocheza week in week out.

Hii mechi angedaka Allison tungekuwa tunaongea mwngine
 
Screenshot_20220227_224431.jpg

Hahahaha just hahaha just hahaha.

He who wins has the last laugh 😂 😂

We are the winners.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom