Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,071
- 20,332
Mawazo yako pia mimi nimeizingumzia LFC yangu kama mshabiki, usinipangie cha kusema.
Mkuu usibishane nae huyo,kesho watakimbiA hao kiukweli hawana timu yakutusumbua,waacheni wapige kelele kesho watakaa kimya.