Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Simjui Bingwa ni nani ila Hata Liverpool hatoshinda michezo yote, hivyo Mancity na Liverpool wote wanaweza kudondosha points, hata hivyo Man City anaweza kushinda michezo 10 mfululizo kwa kikosi kile kile alichonacho.
Hivyo tusichukulie tu kuwa Man City anaweza kupotea kirahisi.
Mpaka sasa bingwa mtarajiwa ni Manchester City kutokana na wachambuzi wengi kuwapa nafasi kubwa kabisa kutetea ubingwa wao...

Klopp mwenyewe anasema hana uhakika kama tutashinda mechi zetu zote zilizobaki... Ndio maana anasema tushinde mechi zetu haya mengine tutayakuta huko mbele

Pazuri ni kwamba mpaka mwaka 2021 unaisha Citizens walikua nadhani wametuacha kwa pointi 12 na sasa ni 6 tukiwa na kiporo mechi moja na bado tukiwa na mechi nao ugenini Ethad, kwa haraka utaona kama vile tutawapata lakini sio rahisi kihivyo kwani hawa jamaa wanajua fika hawana tena nafasi ya kuboronga...

Kwa sasa mechi walizobaki nazo ambazo ni ngumu kiasi kwao on paper ni Manchester United, Wolverhampton Wanderers, Brighton, Crystal Palace na Ashton Villa. Westham japo wanataka top 4 ni kama wamekata upepo sasa.

Otherwise ubingwa upo wazi ni kila mmoja ashinde mechi zake.

YNWA
 
Man city najua tutapoteza game .....ila hata Liverpool atapoteza game ....!


Shida ni kwamba nani atapoteza game nyingi kuliko mwenzake??...

Liverpool katika game 14 anaweza asipoteze hata moja lakini akajikuta ana draw kama 4 nyingine akashinda ...lakini city katika game 14 anaweza poteza game 2 ila zilizobaki akashinda ......hii ni kwa experience nayoijua ....


Keep watching...!
Yaaani ingekua hatunaga haya ma sare mzee baba naona Kipara angeshatimka long time hapa UK lakini duh tunatoa sare mpaka na Brentford haha noma sana.

Tangu mwaka umepiduka naona kwa mbali haka ka upepo ka sare nako kanatuachilia na tunakemea kwa nguvu zote kasepe mbali sana katue Ethad ama Darajani hahaha...

YNWA
 
Screenshot_20220227_172708_com.android.chrome_edit_143819817209824.jpg


YNWA
 
Screenshot_20220227_173318_com.android.chrome_edit_144106692235821.jpg


Duuh binafsi hua naona VAR kama msumeno aisee kuna siku itakupedelea kuna siku itakumaliza.

Jana Lampard imemuuma sana maana Everton meant business jana walijituma mno.

Kwenye social media makaburi yamefukuliwa noma sana.

YNWA
 

Hostoria fupi ya Luiz Diaz 👆 👆.

Kutoka kwenye umaskini wa kutisha mpaka hapa alipo hakika ni pongezi kwake.

Duuh Klopp anajua sana kuwapata hawa ma kinda waliopitia maisha fulani ya kibishi na dogo Diaz maisha amefaiti mwenyewe kwa bidii, kujituma, uvumilivu, msikivu kwa kweli anastahili sana kuwepo Liverpool sababu kwanza ana ile slogan yetu moyoni Never Give Up.

YNWA
 

Hostoria fupi ya Luiz Diaz 👆 👆.

Kutoka kwenye umaskini wa kutisha mpaka hapa alipo hakika ni pongezi kwake.

Duuh Klopp anajua sana kuwapata hawa ma kinda waliopitia maisha fulani ya kibishi na dogo Diaz maisha amefaiti mwenyewe kwa bidii, kujituma, uvumilivu, msikivu kwa kweli anastahili sana kuwepo Liverpool sababu kwanza ana ile slogan yetu moyoni Never Give Up.

YNWA
Tukimtoa TAA na wengine wengine wachache,the rest maisha yao yalikuwa ya msoto.
Ndiyo maana wanajua nini wanafanya❤
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom