Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220224_221210_com.android.chrome_edit_45993770463813.jpg

Tukumbashane gemu ya mwisho matokeo ndio kama unavyosoma ubao.

Mambo ni mazuri sanaaa viunga vya Anfield.

Twenzetu sasa Wembley tuna jambo letu.

YNWA
 
Jopo la waamuzi gemu ya Fainali Jumapili dhidi ya Chelsea ni kama ifuatavyo

Refa ni Stuart Attwell.

View attachment 2131252

YNWA
Walete walete
Hamna tatizo kukiwa na na Fabinho na Thiago pale kati hamna tatizo kabisa.
Ninachojua hiki kikombe kitasaidia kuwapa morali wachezaji wazidi kuwa Moto dhidi ya mancity na Pep(Upara), kingine morali ya kwenda kuchukua UEFA kule paris itaongezeka maradufu, yes it's coming home.

Come on you reds
 
Unaongea as if kama umelichukua Hilo kombe usipende kujitoa akili Chelsea sio kama leeds uliyoifunga hizo nafasi mlizozipata dhidi leeds usitegemee utazipata dhidi ya Chelsea mnakutana na midfielders hatari Sana wenye viwango vya dunia pale Kati Kovacic na Kante ndio mtapoanza kupotezwa nyuma kabisa unakutana na ukuta wa berlin wazee wakukichafua christensen Tiago Silva Rudiger mwisho mnakutana na kipa Bora na number 1 kwasasa E.Mendy
 
kante huwa anatukamia sana, yani fomu yake inakuwa juu sana akikutana na sisi, naamini tutamdhibiti
Mtamdhibiti vipi ikiwa pia anacheza na midfield wa kiwango Cha dunia mwenye sifa ya kufanya dribbling,press resistance,Ana kasi,ana kaba pia ana control game si mwingine bali ni Kamanda Kovacic
 
Walete walete
Hamna tatizo kukiwa na na Fabinho na Thiago pale kati hamna tatizo kabisa.
Ninachojua hiki kikombe kitasaidia kuwapa morali wachezaji wazidi kuwa Moto dhidi ya mancity na Pep(Upara), kingine morali ya kwenda kuchukua UEFA kule paris itaongezeka maradufu, yes it's coming home.

Come on you reds
Always Kombe hua linaongeza morali kwa wachezaji kupambana kujiamini na pia inakua kama vita baridi kwa tunaoshidana nao.

Itakua gemu powa kwetu sana kutuma ujumbe kwa washidani wetu na pia wachezaji itawapa morali kupambana zaidi kwenye makombe mengine FA, UCL na EPL ndio main target.

YNWA
 
Unaongea as if kama umelichukua Hilo kombe usipende kujitoa akili Chelsea sio kama leeds uliyoifunga hizo nafasi mlizozipata dhidi leeds usitegemee utazipata dhidi ya Chelsea mnakutana na midfielders hatari Sana wenye viwango vya dunia pale Kati Kovacic na Kante ndio mtapoanza kupotezwa nyuma kabisa unakutana na ukuta wa berlin wazee wakukichafua christensen Tiago Silva Rudiger mwisho mnakutana na kipa Bora na number 1 kwasasa E.Mendy
Mawazo yako pia mimi nimeizingumzia LFC yangu kama mshabiki, usinipangie cha kusema.
 
Mtamdhibiti vipi ikiwa pia anacheza na midfield wa kiwango Cha dunia mwenye sifa ya kufanya dribbling,press resistance,Ana kasi,ana kaba pia ana control game si mwingine bali ni Kamanda Kovacic
kwa uchezaji wa kovacic ataenda kupata tuu red card
 
Screenshot_20220226_094106_com.android.chrome_edit_94136200559071.jpg

OllaChuga Oc njoo huku usaidie timu yako kulipa deni la Mrusi yaaani mmekwisha mtaanza kupitisha kibakuri soon mchangiwe. Ona sasa anawadai Paudi bilioni 2 khaa.

Hii timu ichukuliwe tu na Malkia iwe mali ya Wananchi hakuna namna.

Ila huyu jamaa ni genius sana yaaaaani kusikia chokochoko bungeni kwamba mali zake zichukuliwe fasta huyoo kuwatia kwapani.

YNWA
 
Screenshot_20220226_093319_edit_93931085195561.jpg

Gary Neville na Allison dam dam kampa kura zote kama kipa bora kucheza EPl akiwapiga chini akina Peter Chek, Peter Schmeichel, David James, Van Da Sa nk

Allison hongera sana ni nadra sana kupata hizi sifa kutoka kwa mahasimu wetu.

YNWA
 
Screenshot_20220226_094413_com.android.chrome_edit_94158763547089.jpg

Nikisema Salah apewe mkataba namaanisha hata ufanisi wake uwanjani unazungumza anastahili kama hafungi basi anatengeneza kila baada dakika 94 anahusika na goli.

Kwa misimu 5 EPL mfululizo sio jambo rahisi kubakia akiwa juu mbali anajituma, anafahamu wapi awe na wakati gani, anajilinda sana na majeruhi na inampa nafasi muhimu ku deliva uwanjani kadri awezevyo.

Hakika tuzidi kuwafurahia hawa wachezaji wetu na pia wanaotoka Afrika niseme kweli itachukua muda sana kuwapata kama hawa Mane, Salah, Koulibaly nk, nilikua na matarijio makubwa sana kwa Patson Daka lakini naona dogo bado kasi yake ni ndogo aanze kufumania nyavu ki sawa sawa..

Waafrika wanaokuja kwa kasi

Kuna huyu dogo wa Watford Emmanuel Denis ameonyesha uwezo alipo japo kukipiga vile timu itategemea na kujituma kwake.

Kuna Ismail Sarr Watford huyu tetesi kama mara mbili Klopp walipeleka ofa ikapigwa chini na ukiona mchezaji Klopp anamsifia ujue hapo talanta ipo ni suala la kupata timu sahihi ionekane.

Kuna Victor Osimhen wa Napoli dogo kipaji kipo.

Samuel Chukwueze kutoka Villarreal kule Spain ni winga machachari sana.

YNWA
 
Hivi kwani TT hahusiki kuchukua kombe la EPL...

Uzuri Chelsea mnacheza powa sana vile vile Liverpool tupo moto balaa hivyo pale ni upangaji wa kikosi na utayari wa wachezaji siku husika.
View attachment 2131249

Head to head ndio hio hapo.

Thomas ameshinda makombe 10 almost nusu yake akishinda na PSG kule farmers league.

Klopp ameshinda makombe 9.

Itakua gemu ngumu sana upande wa tactics.

Uzuri hatuna visingizio mpaka sasa angalau timu zote zina majeruhi yanayovumilika.

YNWA

Mkuu hao chelsea tunawamaliza mapema kabisa naona wamekuja kupiga kelele kwenye uzi wetu tunawaacha tu wapige kelele.

Hawana timu ya kutufunga hao. Liverpool tuko moto sana ngoja waone wanafikiria tuna tania,tutawashangaza hao hawata amini.
 
Walete walete
Hamna tatizo kukiwa na na Fabinho na Thiago pale kati hamna tatizo kabisa.
Ninachojua hiki kikombe kitasaidia kuwapa morali wachezaji wazidi kuwa Moto dhidi ya mancity na Pep(Upara), kingine morali ya kwenda kuchukua UEFA kule paris itaongezeka maradufu, yes it's coming home.

Come on you reds

Hiyo mechi ushindi uhakika,tuko vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom