Kamugy T
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,110
- 1,226
Hivi uliona Rodri alivyoishiwa pozi wakati VAR inatazama kama ni penati..
Marefa wa premier league hawana consistenc yani kosa hilo hilo refa mwingine anaweka pena au siku zingine unakuta yeye mwenyewe anaweka pena. cha ajabu hata akumshauri aende kwenye pitch side monitor kuangaliaHivi uliona Rodri alivyoishiwa pozi wakati VAR inatazama kama ni penati..
Yaani body language ya Rodri ilisema ni penati tu hakuna namna ila Chris KavanaghVAR akashauri sio penati
View attachment 2132704
Chris hakuona haja ya kumshauri refa akatazame kwenye ki TV yaaani. Sasa unajiuliza kama sio penati basi na ile penati ya kwanza Leed vs Liverpool Jumatano basi sio penati.
YNWA
Mimi mwenyewe nilijua ni tuta ,lakini uchawi wa pep ukawapoteza wote ma referee ,kabumbu ikaendelea ....Hivi uliona Rodri alivyoishiwa pozi wakati VAR inatazama kama ni penati..
Yaani body language ya Rodri ilisema ni penati tu hakuna namna ila Chris KavanaghVAR akashauri sio penati
View attachment 2132704
Chris hakuona haja ya kumshauri refa akatazame kwenye ki TV yaaani. Sasa unajiuliza kama sio penati basi na ile penati ya kwanza Leed vs Liverpool Jumatano basi sio penati.
YNWA



Mtihani sana aisee hawa ma refa msimu huu nilitarajia wawe na double check baadhi ya maamuzi yenye utata kwenye ki Tv lakini wapi mambo ni yale yale.Marefa wa premier league hawana consistenc yani kosa hilo hilo refa mwingine anaweka pena au siku zingine unakuta yeye mwenyewe anaweka pena. cha ajabu hata akumshauri aende kwenye pitch side monitor kuangalia
Nataman marefa nao wawe wanahojiwa baada ya mechi
Mimi mwenyewe nilijua ni tuta ,lakini uchawi wa pep ukawapoteza wote ma referee ,kabumbu ikaendelea ....
Sasa tuna point 6 mbele kama mnaweza kuja huku kileleni njoon![]()
Aafu kiporo changu sasa ni Arsenal ugenini haha kazi sanaa.Mimi mwenyewe nilijua ni tuta ,lakini uchawi wa pep ukawapoteza wote ma referee ,kabumbu ikaendelea ....
Sasa tuna point 6 mbele kama mnaweza kuja huku kileleni njoon![]()
Tutapambana hadi mwisho ila ratiba + cinsistency vinambeba City
Mkuu achakukalili city hii ni ya kawaida mkuu,sio tichio. Ushindi wake unaona kabisa wanabebwa.
Ratiba ipi unazungumzia? Consistency mbona hana.
Mkuu Liverpool tuko imana sana na tumejifunza vingi tumebadilika.
Waleteee waleteeee
Kumbe hili jamaa kepteni letu lina airtime sana tu liverOur Starting Line Up Ya 2012 League Cup Final,10 Years Ago.
![]()
Endelea kuotaHapa Liverpool wanajiona washamaliza kila kitu ....yaani wanatembea wamevimba kichwa kama tikitiki maji et uefa ,epl ,fa ,carabao ni vyao....
Yaan ni vile tu hamjui kitu inayoenda kuwakuta![]()
Kitambo sana huyo toka 2011 😊Kumbe hili jamaa kepteni letu lina airtime sana tu liver
19:30Game saa ngapi