Kuna member humu alisem ipo siku Matip atapiga chenga mpaka kipa na kufunga haha naona leo kafanya kweli ana goli la kistraika kabisa.La pili huko....View attachment 2129032
Wakuu ni app ipi inaweza kuonyesha michezo yote mana nipo nje ya mji huku kila kitu ni siku nisaidieni
Hesgoal.com
app auHesgoal.com
Ni
app au
Hao wapuuzi wa sofascore hawana LOLOTE labda n jamaa anayetokea nch moja na DiazHiyo comment inaukweli?View attachment 2129083