King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Mane, Salah, Diaz, Firmino, Jota hii ndiyo real Depth kwasababu akitumia yoyote mmoja kati ya hao hakuna anayelalamika tunatulia tu na tunajiamini kama hakuna kilichotokea.
Imagine hatuna Diogo Jota na tumetulia tu kama hatuna mchezaji anayeitwa Diogo Jota 😁😁😁
Imagine hatuna Diogo Jota na tumetulia tu kama hatuna mchezaji anayeitwa Diogo Jota 😁😁😁