Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,586
- 81,547
Niko sambamba na wewe mkuu, alafu game ndio inaisha hvyoUkweli Dua Nazoomba Hii Match ya Siti na Tot Haki Ya Mama Ingekua Najiombee Ningeshafanikiwa
Umeliwa kiboga huko na Tottenham Hotspur sidhani kama utaonekana hum [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kane kakunyoosha kwako hapo hapo.Hakuna team inatamani kukutana na Liverpool kwenye CL aisee ni shidaaaa ....
ila ipo team moja tu ..... Manchester city