Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Ubao umependeza sana.
YNWA
Ox tangu yale majeruhi amekua muoga sana kutumia nguvu kama siku za mwanzo kipindi anatua liver, atakujiamin kumepungua sana akiwa na mpira pia anacheza kwa hofu sana asipate majeruhi,ile injury imempa hofu sana sidhan kama atarud kuwa ox wa mwanzo anatua liver labda akubali kuwa liwalo na liwe.Kabisa Huyo ndio wakuuzwa hajitumi sana,kwenye timu yeye ndio dhaifu.
Aondoke haraka aisee.
Jini
High line defence ni kimeo ikiwa kama leo kwa Manchester City.Hawa Spurs sijui wanawaoteaga wapi Man City Manake toka enzi za Poch huwa wanafanikiwa kuwafunga.
Hawa Spurs sijui wanawaoteaga wapi Man City Manake toka enzi za Poch huwa wanafanikiwa kuwafunga.
Mambo yamebadilika sasa tunahitaji uzoefu wa Klopp na jopo lake na senior players ili vijana endapo hii gepu tuipunguza wawe na utulivu.Kila nikikumbuka msimu ambao Mancity tulimfukuza kwa point 1 mpaka msimu ukamalizika na point zetu 95 lakini hatukumpata basi naishiwa pumzi.
Baada ya miaka mingi sana hii ndiyo mara ya kwanza mpaka kufikia Feb 20 bado tupo kwenye Makombe yote na tuna nafasi ya kuchukua ubingwa kwenye Makombe yote.