Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,452
- 32,882
Duuh mpaka Kaka Tim anatoa misifa hii ujue pale tumepata jembe.
YNWA
Kuna shida mbili hapoMkuu Lukaku niaje. Uzito wa jezi ama price tag imekua nzito kwake.
Jana stat zake zimekua chini mno.
Kuanzia mipira ya juu mpaka chini hakuonyesha alivyotegemewa
View attachment 2124824
Anaweka rekodi zisizoedana na bei yake kabisa.
Hivi huyu Lukaku alimtaka Thomas ama wenye timu yao?
Kwa dirisha hizi kadhaa pale kati mmeshindwa kusajili ukali maana nikimtazama pia Werner hana tofauti na Romelu output yao ni almost identical tangu watue darajani.
YNWA
Elliot tumuweke kundi la akina Keita , Thiago, Fabinho , Ox , Jones na Le Captain sio?
Aisee ile assist ya Allison mpaka nilibaki nacheka mwenyewe maana sikuwa namsikiliza mtu akiniambia chochote.
Ukiwa na washambuliaji clinical kama Son, Kane na Moura na Kocha asiyependa back passes na anayejua umuhimu wa counter attack kama Conte Manshit hawaponi kabisa
Yah, timu yako ikiwa inafanya vizuri mnakuwa na jeuri. Zamu yenu sasa ila muda upo na uko karibu mtayafunga hayo mabakuli yenu kabisaChelsea wanakelele kama madebe matupu
Kuna shida mbili hapo
Lukaku anakuwa static, kandanda la sasa hivi linamuhitaji kila mchezaji awe na movement kwenye space ili apewe mpira, akiwa static wenzake inakuwa ngumu kumpasia mpira. Game na Aston Vila mwezi wa 12 alikuwa na movement nzuri na alibadilisha kule mbele.
Tatizo lingine wacheza wa Chelsea hawajui kuwachezesha forwards akiwemo Lukaku. Back and sideways passes ndizo zinazoharibu game
Haya makosa mawili ni ya kocha, kocha ampush awe an movement na wenzake wajue kupeleka mipira mbele, Ziyech anajitahidi wengine hakuna kitu. That is all
Mazingira na wachezaji na kocha ni tofauti kabisa kwa Inter na kwa West London. Hizo stats lazima zibadilike kulingana na wachezaji anaocheza nao, kocha anayemfundisha na motivation environment elements anazokutana nazo.View attachment 2125031
Umesema kweli kabisa hapa tatizo ni kocha lakini pia wachezaji japo hapo wachezaji wanatekeleza maelekezo ya mwalimu kwani mechi maadalizi huanza mazoezini kabla ya mechi husika..
Ukisoma hio attachment utaona influence ya Lukaku ambae pale Inter Milan alicheza kama alivyocheza Kane jana vs Manchester City, kwa Lukaku hapa Chelsea imeshidikana kabisa ku link play ama ku recycle mashambulizi yawe brutal amekua yupo yupo tu.
Ushauri wangu maana hawa walimu wa Kijeremani ni hard knocks balaa wapeni Tottenham ela kiasi mbadilisheni na Kane 😁.. I mean Thomas hatabadili mfumo ili Lukaku awe kama Lukaku wa Inter..
YNWA