King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
High line defence ni kimeo ikiwa kama leo kwa Manchester City.
YNWA
HIghline Defence inahitaji Mabeki wasifanye kosa lolote yani wawe makini kwa asilimia 100%.
Hivyo inahitaji Mabeki wazuri na na DM mzuri.
Huwezi kucheza HIghline Defence halafu una DM kama Hendo ndiyo yatakukuta kama yaliyotukuta kwenye goli walilotufunga Norwich.