Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yah, timu yako ikiwa inafanya vizuri mnakuwa na jeuri. Zamu yenu sasa ila muda upo na uko karibu mtayafunga hayo mabakuli yenu kabisa

Since 2017 mbona haya ya kuwa tutapotea/tutaanguka tuliyasikia na bado tunaendelea kuyasikia ilicha ya kuwa tunapitia Ups and Downs lakini bado tupo Imara.

Na ukweli ni kwamba Liverpool ndani ya hii miaka 5 tupo imara sana lakini sema tu Man City ni Imara zaidi extraordinary Ndiyomana hatubebi Makombe Mfululizo, Imagine tunamalizia ligi na points 95 lakini sio mabingwa jambo ambalo halikuwahi kutokezea kabla.

Under Klopp Liverpool haitoanguka ingawa kuna muda anakosa Financial support mpaka anatia huruma.
 
Screenshot_20220221_073826_com.android.chrome_edit_80894439418905.jpg


My New Wallpaper.

YNWA
 
Screenshot_20220221_073114_edit_81116936427205.jpg


Hali ndio hii. Unbeaten 2022

Sijui mashabiki wa Manchester United, Chelsea, Arsenal wakiyaona haya maneno wanajisikia aje na tambo zile kwamba hata top 4 hatupo msimu huu wakati Ligi inaanza.

YNWA
 
Screenshot_20220221_073207_com.android.chrome_edit_81106744134498.jpg


Kumbe mpaka wachezaji wa zamani Liverpool waling'aka dogo Henderson kupewa mkataba mpya khaa nikajua ni sie humu JF 😂😂😂 tu haha.

Akiedelea alipoishia mechi ya Norwich sina maneno zaidi ya salute.

YNWA
 
View attachment 2125780

Kumbe mpaka wachezaji wa zamani Liverpool waling'aka dogo Henderson kupewa mkataba mpya khaa nikajua ni sie humu JF 😂😂😂 tu haha.

Akiedelea alipoishia mechi ya Norwich sina maneno zaidi ya salute.

YNWA

Mzee Baba Hendo kutoa Assist tu juzi munamuandikia Makala kila ya kumpamba sio?

Dah Fabinho anafunga kabisa lakini hamumuandikii makala.
 
Wewe jamani ebu mtoe Captain hapo kwamba hujaona ile assist kali ya Le Captain [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji85][emoji85][emoji85]...

Aafu kama Captain akicheza kati kiasi fulani anakua na impact kuliko akicheza kulia na dogo Arnold..

Elliot kwanza safari yake ya mafanikio ndani ya Liverpool bado kabisa hapa anapewa kwanza foundation ndio maana uliona Klopp kumpanga kule San Siro. Unakumbuka Klopp alivyompanga TAA ugenini Trafford haha akimzima Rashford na baada ya hapo dogo hakuwai kurudi nyuma.

Mdogo mdogo Elliott atakua introduced kwenye set up upya baada ya ile jeraha kua amepona.

Hapa kwa TAA, Elliott, Jones, "Fabio" hawa FSG wameokoa mapesa mengi sana kuingia sokoni.

Fununu ni kwamba pia wapo Marcelo Pitaluga, Mateusz Musialowski, Billy Komuteo hawa soon watakuja kukiwasha hapa pengine 2023 tutapata tena introduction ya mmoja.

YNWA
Musialowski ni moto
 
Mzee Baba Hendo kutoa Assist tu juzi munamuandikia Makala kila ya kumpamba sio?

Dah Fabinho anafunga kabisa lakini hamumuandikii makala.
Nilijua ni Rajab Omar_,@ MosDef ndio hatumkumbali Henderson kumbe hata wachezaji wa zamani wa Liverpool walitamani asiongezwa mkataba.

Hahahaha makala... hizi on and off za Henderson mbona zimo zimo wewe subiri tu uzuri mie mchezaji akifanya powa hua natoa salute inapostahili na akipoteana kuanza kutoa zile useless passes kama ile gemu ya Chelsea ugenini nitasema tu japo simwombei hivyo maana tunahitaji kila mmoja wao pale Liverpool afanye vyema ili angalau EPL iwe red ribbons come end of the season..

Aafu usimtaje Fabinho anapotajwa Henderson bhana... Ni kama kutaja kurikuu na kilimo kwanza...

Nishasema usalama wetu kushinda makombe tunayotarajia ni uzima wa Fabinho, Allison, VVD, Thiago.. Sikumuweka Henderson hapo maana najua output yake is irrelevant compared with the others mentioned.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom