Mpira ni biashara, hawa kina salah mane and firmino tumewatumia kwa muda mrefu sana... mpaka wapinzan walishatukariri tunachezaje.. mda fulan ni lazima ukubali tu kuuza mchezaji wako mmoja mkubwa ili wengine wapate nafasi, tusingemuuza torres naiman asingesajiliwa Suarez.... hawa watatu hawaumizi kwa kuwa ukiangalia umri wao soon wataanza kutokupa kile unachotaka... kujicommit nao kwa mkataba wa mda mrefu ni risk pia.. Now tukubali tu firmino si bora kuliko jota.. ila kipnd firmino akiwa onform uwez mfananisha na jota... mane hana consistency ndio ni mpambanaj lakn anamakosa mengi kwa sasa... salah kinachombeba ni mzuri ingawaje age imeenda ila bado anaubora ule ule... binafsi nawaelewa FSG maana hata ningekuwa mimi ningefanya wanachofanya.. Diaz ni mchezaj mzur sana nae atahitaji nafasi kuprove hilo..kama minamino angeeingia kwenye mfumo vzur naiman jota asingesajiliwa.
I understand you.
But, football business huwa ina-generate good money & profit kutokana na maendeleo ndani ya pitch, siyo nje ya pitch, i mean you can accumulate good deals/sponsors/partners kama team inafanya vizuri ndani ya uwanja (trophies), because team yeyote inayofanya vizuri ndani ya pitch huwa inabeba vitu vitatu muhimu sana katika football business;
1. Star Power (Players & Manager)
2. Global appeal
3. Trophies
football ni business, but to make it kuwa profitable business unahitaji hivyo vitu vitatu, na vyote vinategemeana na vyote vinatokana na mafanikio ya ndani ya PITCH, na ili upate mafanikio ndani ya pitch itabidi uwekeze katika players, tengeneza players ambao watakuwa na star-presence, mfano at LFC, siyo kila mtu anaangalia au anafatilia team kwasababu ya ushabiki, kuna watu wanaangalia LFC kwasababu ya Salah, VVD, Mane, TAA, Alisson, Thiago, Fabinho, Firmino etc, hii ni star-power, na kuitengeneza inachukua time, especially kwa Club yetu ambayo inajiendesha kwa faida zake yenyewe, we should respect this.
I mean, tulipata a nike deal kwasababu ya our global appeal, ambayo ilikuja kutokana na trophies+star-power ya wachezaji tulionayo, FSG took over in 2010, but value ya Club imekuja kuongezeka maradufu after 7 years walizokuwepo at the club, na hii ni baada ya Klopp & star players aliowatengeza kubadilisha kabisa upepo wa LFC, siku hizi kila siku Club inapata new business partners all over the world, ni kwasababu ya star-power na global appeal iliyotengezwa na team kufanya vizuri ndani ya uwanja, LFC ni top 3 kati ya clubs zinazo angaliwa zaidi duniani, few years ago haikuwa hivi, LFC haikuwa na strong base Africa, but now ipo kubwa sana sababu ya Salah, Mane & Keita, you can sell everything related to LFC kwa wa-Misri, not because they love the club, but kwasababu hero wao anacheza LFC, same to Mane in Senegal & Keita in Guinea.
So yes, we can sell Mane & Salah, but can we replace their star-power kwa mara moja? (achana na output yao uwanjani), tunaongelea biashara, utd can pay Ronaldo 500k p/w sisi hatuwezi hiyo, Chelsea can buy any player for £100m sisi hatuwezi hiyo, City can buy players like Grealish for 100m na kumfanya kuwa rotational player, sisi hatuwezi hiyo, sisi tunanunua rough diamonds kwa £5m-£45m (inflated market) na kuzigeuza kuwa diamonds safi (Mane, Salah, Firmino, Fabinho, Jota, Diaz, Robertson, Coutinho, Gomez, Suarez, Torres etc), Under Klopp ni wachezaji watatu tu wamevuka mark ya £50m (VVD, Alisson, Keita) and we bought VVD +Keita for Coutinho money, and we had to choose Alisson over Fekir because budget ilikuwa tight (Fekir ni one of La Liga best players now na his knee is fine), FSG wana-operate kwenye tight budget, Diaz will replace Mane eventually, but ingekuwa ni Utd/City/Chelsea wangem-replace Mane na mchezaji mwenye star-power kama yake.
If you lose Salah/Mane/Firmino in the same window, unakuwa unapoteza hela nyingi sana kwenye upande wa commercials/deals/sponsors, Nike wanawekeza LFC kwasababu kuna wachezaji wakubwa ambao watawauzia jerseys zao, juzi zimetoka takwimu, Salah anakimbizana na kina Messi/Ronaldo kwenye mauzo ya Jersey, sasa unamuuza Salah, then unamsign Bowen ili am-replace who will buy Bowen shirts outside of scousers?
Sadio Mane, amegenerate a lot of Money for this club na bado ataendelea ku-generate a lot of money, because bado ana-play big part kwenye competition zote tulizopo, na kuna jinsi ya ku-phase out players, angalia City, Madrid, Bayern wanavyofanya, na ndio maana hizi team bado zipo juu sana kimpira, angalia City walivyowa-phase out kina Aguero, silva, kompany etc, na angalia sahiv wanavyom-phase out Fernandinho, imemchukua Pep 2 seasons kufanikiwa kum-mould Rodri, it took Pep years kumruhusu Aguero baada ya ku-perfect style ya kucheza bila recognizable striker, Pep knew itahitajika hela nyingi sana kupata mchezaji ambaye ataweza ku-replace output ya Aguero, na alikuwa haoni ST wa maana na kwa bei zilizopo, and thats why hata Aguero alivyoondoka, Pep hakuwa na haraka ya kukubali demands za Levy, kama angekuwa desperate angelipa 100m for Kane, na siyo kwamba kina Mansour wangeshindwa kulipa 100m for Kane, but Pep hakuwa desperate.
Sasa, sisi hatuna hela ya kununua kina Haaland or Mbappe, tuna hela ya kununua kina Diaz & Jota, na kuwafanya kuwa stars, we bought Mane & Salah kila mmoja kwa fee isiyozidi £40m, na wamekuwa global stars kupitia LFC, na ndiyo hicho tunacho-hope kwa Diaz na Jota, its not like we can sell Salah today na kukubali kumpa Mbappe 400k p/w, hatuwezi, hatuwezi ku-replace like for like, and it wont suprise me kama Klopp atamgeuza Fabio kuwa our false 9 (Firmino replacement), thats how we operate.
Angalia EPL, na ntajie Left Wingers watatu unaodhani ni bora zaidi ya Mane now, you cant just sell him because you want to, teams zote ambazo zimekaa on top muda mrefu huwa zina-culture ya ku-keep important players wao kwa muda mrefu, lets say msimu ujao Diaz atakuwa anaanza, dont you find it breathtaking kuwa na mchezaji kama Mane akitokea bench? kuliko kina Minamino au Gordon?, City kina Mahrez wanatokea bench, Chelsea kina Pulisic sometimes wanatokea bench, and you wonder why Tuchel amebeba important trophies kwa muda mfupi?
Jana against Burnley, the midfield was struggling to contain Sean Dyche team (He's a LFC fan but he hates us, i dont know why) and soon baada ya half-time, Klopp akaangalia bench lake akamuona Thiago, akamuita akamwambia ingia ndani humo control the game and kill their tempo, na alivyoingia Thiago, si mmeona Burnley walivyopotea, sasa you think Milner, Ox, Morton etc wangeweza ku-supress momemtum ya Burnley ambao wapo kwao na wanapigania maisha yao ya EPL? kila siku tunasema Pep anatumia hela nyingi, No, ni kuwa ana luxury ya kuwa na quality depth, ukiwa quality depth unakuwa na uwezo wa kuwa na plans A, B, C na varieties nyingi sana uwanjani, jana ile game ya burnley tulikuwa tunapotea bila ile sub ya Thiago (point blank), jana Captain was struggling, Klopp reacted fast, but kama asingekuwa na reliable CM, angeamua ku-gamble tu na Captain mpaka mwisho, ndiyo ungekuta tunalalamika humu kuwa Klopp hapendi kufanya subs, kumbe haliamini bench lake.
Tumekuwa tukililia quality squad depth, na sasa ndiyo hii tunaishuhudia, we should embrace it.
At one point LFC ilikuwa na kit sponsor Warrior, Nike/Adidas walikuwa wanampa deals SG tu, hakuna kampuni kubwa iliyokuwa inataka kuwekeza kwenye team yetu at that time, now we get these big deals because tuna players wenye global appeals.
Man utd, can still attract sponsors because kina Glazers wanauwezo wa kununua kina Sancho, Varane etc na ku-offer big wages kwa global star kama Ronaldo, sisi HATUWEZI, we wanted Sancho kabla ya Utd, na aliongea mpaka na Klopp, but tulifeli kwenye Fee, tukaja na gear ya kuomba camp ya Sancho itupe time, football spies walivyopata hizo fununu, kwamba Sancho wants to leave Dortmund, waliwapenyezea Utd, na Utd walichofanya ni ku-present a big wage package to Sancho ambapo ilikuwa ni easy kwa kijana kama sancho kukubali (£350k p/w) nobody is turning that offer down, Luis Diaz who i believe will turn out to be a BETTER SIGNING than Sancho, mshahara wake ni £57k p/w at LFC, this is how we operate, and trust me Klopp will mould Diaz kuwa a world beater.
Na kwenye post yangu, nilisema, give Mane & Firmino atleat 2 years, klopp will leave in 2024, Kama summer hii tuta-sign understudy mwingine, let them get moulded by Klopp, ili akiondoka wawe tayari ku-fire under the new manager, bila kuathiri the nature of our business.