Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,682
One of the best free transfer business
One of the best free transfer business
Just for the recordsView attachment 822971Liverpool Trophies:
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
View attachment 822972
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m
View attachment 822990
Principal Owner: John W. Henry
View attachment 822995
Chairman: Tom Werner
View attachment 823004
Manager: Jürgen Norbert Klopp
League Tittles: 19
Premier League Champions: 19 (1900/01, 1905/06, 1921/22, 1922/23, 1946/47, 1963/64, 1965/66, 1972/73, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1979/80, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1985/86, 1987/88, 1989/90, 2019/2020)
European Trophies: 12
UEFA Champions League: 6 (1976/77, 1977/78, 1980/81, 1983/84, 2004/05, 2018/19)
UEFA Europa League: 3 (1972/73, 1975/76, 2000/01)
UEFA Super Cup: 4 (1977, 2001, 2005 ,2019)
FIFA Club World Cup: 1 (2019)
FA Cup Trophies: 7 (1965, 1974, 1986, 1989, 1992, 2001, 2006)
League Cup: 8 (1980/81, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1994/95, 2000/01, 2002/03, 2011/12)
Community Shield: 16
FA Community Shield: 2 (2001, 2006)
FA Charity Cup: 13 (1964, 1965, 1966, 1974, 1976, 1977, 1979, 1980, 1982, 1986, 1988, 1989, 1990)
Sheriff of London Charity Shield: 1 (1906)
Other Trophies:
Second Division: 4 (1893/94, 1895/96, 1904/05, 1961/62)
Lancashire League: 1 (1892/93)
Football League Super Cup: 1 (1985–86)
Follow this thread for team updates!
View attachment 1115544
Liverpool Football Club celebrate as they Crowned Champions League Winners (2019/2020)
View attachment 1542917
Liverpool Football Club celebrate as they Crowned EPL Winners (2018/19)
View attachment 1543670
Liverpool Premier League Timetable of 2020/21
Okey Sawa uko sahihi lakini turudi kweny e pitch kuna vvd, Becker, Mane na fabinho wote wanafanya vizuri kwenye position zao. Sasa leo hii mikataba ya wachezaji karibia wanne inaisha kwa pamoja mane firminho na salah mwenyewe na wengineo Sasa basi unapomuongeza Salah namna hiyo unategemea unatengeneza nn kwenye timu na hawa wengne waongezwe kutoka alipo Sasa mpaka mshahara anaotaka hapo ni parefu Sana italeta mpalaganyiko kwenye timu ndo maana m6pka leo wachezaji wote hao wameshindwa kuongeza mikataba kwa sababu yake pesa anayotaka nyingiHivi wakuu ile vibe ilukua Anfield wakati Salah anaingia ile sub mliipata vyema jamani.
Man huyu jamaa anapendwa sana yaaani sio kwa mahaba yale.
Niseme kweli amewakamata FSG penyewe na asiachilie ashikilie hapo hapo mpaka wampe huo mkataba wa £400k kwa wiki na miaka miwili na optional mwaka mmoja.
Ukiachana na magoli na assist yake uwanjani pia kibiashara anawapa FSG ela za kutosha hivyo kumkosa pia FSG watapata pigo kubwa kibiashara.
Ipo hivi.
Mwaka ulioisha jezi 816,000 za Salah ziliuzwa kati ya jezi 2.4m za Liverpool
Kila jezi ya Liverpool inayouzwa kihalali kupitia Nike na mtadao wao wa baishara Liverpool wanapata asilimia 20% ya mauzo.
Liverpool bei ya jezi ya juu yenye jina la mchezaji ni £85,assuming bei ya pound moja ni tsh 3,000.
£85x3,000=255,000tsh
Kila jezi inayouzwa Liverpool wanachukua 51,000tsh (20%) kwa kila jezi.
Salah 2021 aliuza jezi 816,000.
Ina maana Liverpool walipata kama ifuatavyo kutoka mauzo ya Jezi ya Salah
*816,000 jezi x51,000tsh= 41,616,000,000tsh.
Salah pekee alichangia mauzo ya jezi kwa asilimia 42 kwa mwaka 2020 na 2021.
Duniani Salah alikua namba 4.
List ya mauzo ya bora ya jezi
* Lionel Messi position 1. 2m jezi.
* Ronaldo position 1.05m
* Lewandoski position 970,00k
* Salah position 816,000k
Mauzo bora ya jezi kwa klabu yalikua Ulaya kama ifuatavyo.
1) Bayern Munich 3.2m
2) Real Madrid 3m
3) Liverpool 2.4m
4) Manchester United 1.9m
5) Juventus 1.4m
Liverpool imeongoza kwa mauzo ya Jezi Uingereza.
Wakuu hili swala FSG wafanye chap huyu dogo apewe anachokitaka.
Hizo ni jezi tu sasa nenda kwenye endorsement za baishara nako wanapata na kadhalika.
Ukija uwanjani dogo ni Mfungaji bora mtengenazaji wetu bora wa magoli tangu atue.
Salah ni ASSET UWANJANI NA KIBIASHARA.
YNWA
Mwanzilishi wa huu Uzi ni Mbu ambaye sasa hivi anajiita Ladder. No Liverpool damu huyu jamaa sio Arsenal huyu jamaa.Just for the records
Mwanzilishi wa uzi wetu ni asenane dam-dam
Kweli the good days zilikua good
NopeMwanzilishi wa huu Uzi ni Mbu ambaye sasa hivi anajiita Ladder. No Liverpool damu huyu jamaa sio Arsenal huyu jamaa.
Mkuu kuna Salah mchezaji na kuna Salah biashara nje ya uwanja. Uwanjani yupo vizuri na kibiashara yupo vizuri, ni mtulivu hana kashfa hivyo pia ma endorsement kama yote..Okey Sawa uko sahihi lakini turudi kweny e pitch kuna vvd, Becker, Mane na fabinho wote wanafanya vizuri kwenye position zao. Sasa leo hii mikataba ya wachezaji karibia wanne inaisha kwa pamoja mane firminho na salah mwenyewe na wengineo Sasa basi unapomuongeza Salah namna hiyo unategemea unatengeneza nn kwenye timu na hawa wengne waongezwe kutoka alipo Sasa mpaka mshahara anaotaka hapo ni parefu Sana italeta mpalaganyiko kwenye timu ndo maana m6pka leo wachezaji wote hao wameshindwa kuongeza mikataba kwa sababu yake pesa anayotaka nyingi
Definitely best free transfer.One of the best free transfer business
milner ni kocha mchezaji mkuu, kama kina gigs enzi za babu fergieThe BAD BAD BAD NEWS...
View attachment 2118711
Wakuu niambieni labda na makengeza kuhusu huyu bwana seriously tunamhitaji huyu Milner aongeze mkataba Liverpool... Haiyaaa sasa hawa akina Fabio Carvalho, Jones, Chamberlain, Keita, Bissouma, Fabinho, Henderson, Thiago nk watakua wanapata dakika namna gani hapa.
Hapa Klopp atuambie kwa kina aidha anataka abaki kama mentor kwa upcoming talent akicheza kuanzia dakika ya 90 kama leo au ni vipi jamaa.
Just let the man go to Leeds.
Klopp kawaambia wenye timu Milner abakie msimu mmoja tena.
Mbona simuoni Klopp kusema Salah apewe mkwaja na mkataba mpya, au Mane au Firmino nwa labda kwa vile Milner mkataba wake unaisha Juni 2022.
YNWA
Yaaani jamaa yupo cool sana.Maana halisi ya timu, ukiwa sehemu ya ulinzi unazuia, ukiwa sehemu ya kiungo unaunganisha timu na ukiwa sehemu ya ushambuliaji Basi unafunga!
Aafu wewe Kipara. Ohooo jiadae kule Ureno unakutana na homeboy wetu Le Captain Sebastian Coate yaaani ana jambo lake.Hilo swali la huyo jamaa nimebaki natafakari Sana ,![]()
Na hili ndo tatizo kubwa kule Man u wachezaji wanategeanaOkey Sawa uko sahihi lakini turudi kweny e pitch kuna vvd, Becker, Mane na fabinho wote wanafanya vizuri kwenye position zao. Sasa leo hii mikataba ya wachezaji karibia wanne inaisha kwa pamoja mane firminho na salah mwenyewe na wengineo Sasa basi unapomuongeza Salah namna hiyo unategemea unatengeneza nn kwenye timu na hawa wengne waongezwe kutoka alipo Sasa mpaka mshahara anaotaka hapo ni parefu Sana italeta mpalaganyiko kwenye timu ndo maana m6pka leo wachezaji wote hao wameshindwa kuongeza mikataba kwa sababu yake pesa anayotaka nyingi
Kuna watu walimbeza sana alipokujaYaaani jamaa yupo cool sana.
Huu usajili hata sijui hata kama akina Romano walitonywa aisee maana yaaani tulipigwa ile fainali na Real Madrid mara pap dogo Fabinho akatua kimya kimya.
YNWA