Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi wakuu ile vibe ilukua Anfield wakati Salah anaingia ile sub mliipata vyema jamani.

Man huyu jamaa anapendwa sana yaaani sio kwa mahaba yale.

Niseme kweli amewakamata FSG penyewe na asiachilie ashikilie hapo hapo mpaka wampe huo mkataba wa £400k kwa wiki na miaka miwili na optional mwaka mmoja.

Ukiachana na magoli na assist yake uwanjani pia kibiashara anawapa FSG ela za kutosha hivyo kumkosa pia FSG watapata pigo kubwa kibiashara.
Ipo hivi.

Mwaka ulioisha jezi 816,000 za Salah ziliuzwa kati ya jezi 2.4m za Liverpool
Kila jezi ya Liverpool inayouzwa kihalali kupitia Nike na mtadao wao wa baishara Liverpool wanapata asilimia 20% ya mauzo.
Liverpool bei ya jezi ya juu yenye jina la mchezaji ni £85,assuming bei ya pound moja ni tsh 3,000.
£85x3,000=255,000tsh
Kila jezi inayouzwa Liverpool wanachukua 51,000tsh (20%) kwa kila jezi.
Salah 2021 aliuza jezi 816,000.
Ina maana Liverpool walipata kama ifuatavyo kutoka mauzo ya Jezi ya Salah
*816,000 jezi x51,000tsh= 41,616,000,000tsh.

Salah pekee alichangia mauzo ya jezi kwa asilimia 42 kwa mwaka 2020 na 2021.

Duniani Salah alikua namba 4.
List ya mauzo ya bora ya jezi
* Lionel Messi position 1. 2m jezi.
* Ronaldo position 1.05m
* Lewandoski position 970,00k
* Salah position 816,000k

Mauzo bora ya jezi kwa klabu yalikua Ulaya kama ifuatavyo.

1) Bayern Munich 3.2m
2) Real Madrid 3m
3) Liverpool 2.4m
4) Manchester United 1.9m
5) Juventus 1.4m

Liverpool imeongoza kwa mauzo ya Jezi Uingereza.

Wakuu hili swala FSG wafanye chap huyu dogo apewe anachokitaka.
Hizo ni jezi tu sasa nenda kwenye endorsement za baishara nako wanapata na kadhalika.

Ukija uwanjani dogo ni Mfungaji bora mtengenazaji wetu bora wa magoli tangu atue.

Salah ni ASSET UWANJANI NA KIBIASHARA.

YNWA
Mkuu naQubali👍👍 naomba nyota ikuwakie upate shavu ukatuchambulie masuala ya soka katika kituo cha skyspots👏👏👏
 
The GOOD NEWS SO SO GOOD NEWS..

Screenshot_20220213_205659_com.android.chrome_edit_55159572126998.jpg


YNWA
 
The BAD BAD BAD NEWS...
Screenshot_20220213_210942_com.android.chrome_edit_55172973807725.jpg


Wakuu niambieni labda na makengeza kuhusu huyu bwana seriously tunamhitaji huyu Milner aongeze mkataba Liverpool... Haiyaaa sasa hawa akina Fabio Carvalho, Jones, Chamberlain, Keita, Bissouma, Fabinho, Henderson, Thiago nk watakua wanapata dakika namna gani hapa.

Hapa Klopp atuambie kwa kina aidha anataka abaki kama mentor kwa upcoming talent akicheza kuanzia dakika ya 90 kama leo au ni vipi jamaa.

Just let the man go to Leeds.

Klopp kawaambia wenye timu Milner abakie msimu mmoja tena.

Mbona simuoni Klopp kusema Salah apewe mkwaja na mkataba mpya, au Mane au Firmino nwa labda kwa vile Milner mkataba wake unaisha Juni 2022.

YNWA
 
Mkuu kam hil dili likitik Anfield italipuka kwa furaha😀😀
Watakutana wiki hii inaanza kesho kumaliza haya maneno aisee.

Kongole kwa Julian Ward huyu dogo tunamhitaji sana.

Baada ya Brexit ni ngumu sana kusajili hawa makinda aisee ma complications kibao, ndio maana unaona Liverpool wanakomaa sana kwa huyu dogo.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom