So, Mane, baada ya msimu huu atakuwa amebakiza msimu mmoja at LFC, na mpaka sasa hakuna new talks za mkataba mpya.
What are FSG plans? sell him in the summer au kumuacha Mane a-run down his contract?
Kama FSG wakimu-offer Mane a new contract watamuhakikishia minutes za kutosha in the future? especially now understudy wake (Luis Diaz) amesajiliwa? Mane ni aina ya wachezaji ambao wanaamini katika minutes za kutosha, kum-bench Mane lazima uwe na sababu za msingi sana, but we cant lie to ourselves now, LUIS DIAZ ni Mane replacement, i dont know how klopp atafanya, but its clear now, Luis Diaz will replace Mane when he eventually leaves, you see Jota now ni starter over Firmino, so things are starting to shape themselves, so it depends Diaz atatumia muda gani kum-dethrone Mane, personally naombea Mane, Firmino, Salah wote wapate new contracts, well it seems Salah ndiyo main priority now, but it wont be bad kama Mane na Firmino wakipata 2 years-contract each, having Salah, Mane, Firmino, Jota, Diaz as your attacking options is breathtaking, but we both know FSG, na pia Mane ana big ego, hatakubali kuwa benched na Diaz at any point of his LFC career, ni sticky situation but as a coach lazima upende kuwa na aina hii ya headache, Pep Guardiola ana depth kubwa sana kwenye attack, wachezaji wote kwenye attack yake can be considered kama undroppable kwenye team zingine, so for the next two seasons za mwisho za Klopp haitakuwa mbaya kama akipatiwa hii depth (Salah, Mane, Jota, Diaz, Firmino), he deserves it.
Ngoja tuone how it will unfold, naona jana Mane kaanza jokes za kukubali move ya Marseille, yes i know he supports them as a fan, but the timing is alarming, ukichukulia hakuna talks za new contract, and FSG tunaowajua hawawezi kutoa more than £40m kwa Luis Diaz bila kuwa na plans za ku-refund hiyo pesa, na nahisi summer kutakuwa na suprises.
Now, i know FSG wanaleta kiburi kwenye mazungumzo ya mkataba mpya wa Salah, because Clubs ambazo Salah angewish kwenda (Madrid, Barca & maybe Bayern), are either struggling financially, or wont pay £100m for a 30 year-old, Madrid wants Mbappe, he will be free but he will cost a lot kwenye wages, Barcelona are out of the picture and i dont think Bayern are interested, and i dont think Salah will fancy a serie A move, maybe PSG, i dont know.
But, you know, Laporta (Barcelona president), tried to be clever, he wanted Messi kupunguza mshahara wake zaidi ya ule aliokubali kupunguza, and he thought angekubali kama kusingekuwa na team nyingine yeyote inayomuhitaji, at that time ni Man City tu ndiyo walikuwa na strong interest, but Laporta manipulated the spanish media and most of all the Messi camp kuonesha kuwa everything is under-control, so Man City decided to walk away and signed Grealish for £100m, few hours after it was reported kuwa City wame-agree deal na Grealish for a recording breaking fee, na ambaye anacheza the same role kama ya Messi, laporta called Messi father na kumwambia kuwa they cant register Messi wages, the news broke out, Laporta thought ameshinda vita na anambakiza Messi at Barcelona despite matatizo makubwa ya kiuchumi Barcelona, because hana option na kum-sign Messi unasign the whole PACKAGE, then out of nowhere PSG called.
So, FSG can act smart kwenye hii deal ya Salah, but ishu inaweza kuturn-out kuwa bitter, hasa kwa upande wa Club, we cant lose Salah now, especially if you want to let Mane & Firmino run down their contracts or God forbidding, sell one of them in the summer.