Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu

Marekesho kutoka kwa Kop anasema kuna mengi umeandika humu siyo ya kweli.



Dave Fallow yeye ndio ana scout wachezaji ana channel yake kubwa sana ya Scout ambayo ameitengeneza Luis Diaz usajili wake Ulianza Kwenye Recomendation ya Scout anayebase Spain na Portugal anaitwa Kike huyu anatoa taarifa kwa Fallow na ndio watu wa kwanza kuonesha interest na hizi huwa wanawasialiana na wakala kama walivyofanya hapo mwanzo Hawa wakishapata hilo jina linapelekwa kwa Kitengo cha Science and Data chini ya Ian Graham na wenzake ambapo wanafanya extensive accession ya mchezaji strength yake na namna Makocha wetu wanataka iwe Then Hawa wanafanya mawasiliano na Makocha mfano mchezaji anatokea Portugal lazima Klopp ataongea na Pepjin na Vitor matos kwan wao wana wider network kule ya Makocha wenzao wlaiowahi fanya nao kazi na hata watu wa analysis plus wameishi soka la huko so Wanajua hii ni Full package hii sio,ingekuwa Ujerumani Klopp mwenyewe na Pete wangefanya ilo,South america lazima Claudio angetoa assessment yake kwa ufaham wa soka,character and other things hapa baadae Makocha wataambiwa kila kitu kumuhusu mchezaji na namna yetu ni kuwa na wachezaji wa 3 ambao Tuna amini wanaweza tu improve na mmoja tumbebe inarudi final details kama deal la Diaz bwana Ward yeye alifanya kusafiri na kutia dot tu maana kazi ilimalizwa na Kike na Fallows waliokwenda Portugal kwenye negotiation

Marekesho kutoka kwa Kop anasema kuna mengi umeandika humu siyo ya kweli.



Dave Fallow yeye ndio ana scout wachezaji ana channel yake kubwa sana ya Scout ambayo ameitengeneza Luis Diaz usajili wake Ulianza Kwenye Recomendation ya Scout anayebase Spain na Portugal anaitwa Kike huyu anatoa taarifa kwa Fallow na ndio watu wa kwanza kuonesha interest na hizi huwa wanawasialiana na wakala kama walivyofanya hapo mwanzo Hawa wakishapata hilo jina linapelekwa kwa Kitengo cha Science and Data chini ya Ian Graham na wenzake ambapo wanafanya extensive accession ya mchezaji strength yake na namna Makocha wetu wanataka iwe Then Hawa wanafanya mawasiliano na Makocha mfano mchezaji anatokea Portugal lazima Klopp ataongea na Pepjin na Vitor matos kwan wao wana wider network kule ya Makocha wenzao wlaiowahi fanya nao kazi na hata watu wa analysis plus wameishi soka la huko so Wanajua hii ni Full package hii sio,ingekuwa Ujerumani Klopp mwenyewe na Pete wangefanya ilo,South america lazima Claudio angetoa assessment yake kwa ufaham wa soka,character and other things hapa baadae Makocha wataambiwa kila kitu kumuhusu mchezaji na namna yetu ni kuwa na wachezaji wa 3 ambao Tuna amini wanaweza tu improve na mmoja tumbebe inarudi final details kama deal la Diaz bwana Ward yeye alifanya kusafiri na kutia dot tu maana kazi ilimalizwa na Kike na Fallows waliokwenda Portugal kwenye negotiation

Marekesho kutoka kwa Kop anasema kuna mengi umeandika humu siyo ya kweli.



Dave Fallow yeye ndio ana scout wachezaji ana channel yake kubwa sana ya Scout ambayo ameitengeneza Luis Diaz usajili wake Ulianza Kwenye Recomendation ya Scout anayebase Spain na Portugal anaitwa Kike huyu anatoa taarifa kwa Fallow na ndio watu wa kwanza kuonesha interest na hizi huwa wanawasialiana na wakala kama walivyofanya hapo mwanzo Hawa wakishapata hilo jina linapelekwa kwa Kitengo cha Science and Data chini ya Ian Graham na wenzake ambapo wanafanya extensive accession ya mchezaji strength yake na namna Makocha wetu wanataka iwe Then Hawa wanafanya mawasiliano na Makocha mfano mchezaji anatokea Portugal lazima Klopp ataongea na Pepjin na Vitor matos kwan wao wana wider network kule ya Makocha wenzao wlaiowahi fanya nao kazi na hata watu wa analysis plus wameishi soka la huko so Wanajua hii ni Full package hii sio,ingekuwa Ujerumani Klopp mwenyewe na Pete wangefanya ilo,South america lazima Claudio angetoa assessment yake kwa ufaham wa soka,character and other things hapa baadae Makocha wataambiwa kila kitu kumuhusu mchezaji na namna yetu ni kuwa na wachezaji wa 3 ambao Tuna amini wanaweza tu improve na mmoja tumbebe inarudi final details kama deal la Diaz bwana Ward yeye alifanya kusafiri na kutia dot tu maana kazi ilimalizwa na Kike na Fallows waliokwenda Portugal kwenye negotiation
Okey, nadhani kuna ku-read into a lot of papers & google na kuwa in the mix, but again, wote tunakuwa na same goal ya kupata information, then when we read/do research about football structures kwenye footie outlets/articles/forums/club sites etc, tunatakiwa kuna mambo mengi sana yapo behind the scene yanayofanya na kusababisha football kuwa the most famous/corrupt/rich sport franchise in the world.

I think i will try to discuss with the quoted "kop" katika scenarios mbili tofauti (without letting out baadhi ya vitu)

1. SCOUTING SYSTEM/STRUCTURE
2. TRANSFER BUSINESS.



Starting with SCOUTING.
Well, at LFC, FSG wananunua LFC, a struggling LFC (financially & in sport-management), Purlsow (one of our ex DOF) steps down baada ya ku-initiate sale ya LFC kwa FSG, then FSG wanamuajiri/appoint Comolli kama DOF, quickly Comolli himself uses his connection to sign Suarez, but on the other hand Daglish presented him with a list of British players he wants (Andy Carroll, Henderson, Downing, Charlie Adam etc), Comolli (A scouting guru) presented to FSG his list of players (Gotze, Aubameyang, Juan Mata, Kagawa etc), Daglish didnt want these players, he advised FSG against these signings, telling them he want to build LFC around passionate British players, FSG decided to follow Daglish route, ignoring the route ambayo imekuwa suggested na our DOF and a scouting guru (read his body of work), so kwa kufuata approach ya Daglish, Comolli as a DOF was tasked na ku-close deals za wachezaji anaowataka Daglish, wachezaji hao ni Carroll, Downing, Henderson, Charlie Adam na Jose Enrique, BUT when these signings failed to work, blame ikaja kwa Comolli, especially kuhusiana na signing ya Henderson, ambapo it was so clear kuwa Comolli wanted Gotze instead of Henderson, but Daglish insisted on Henderson, and we had to pay £20m, ambapo Comolli aliamini kuwa ni right price for him, sasa when Henderson was struggling FSG started to blame him kuwa he overpayed for him na kupelekea kumfukuza kazi, ambapo baada ya Comolli kuondoka nafasi akachukua Ian Ayre, remember kuwa Comolli alivyoajiriwa, naye akamleta Michael Edwards at LFC (2011), akiwa kama performance analysit.

FSG, realises kuwa walifanya branda, kwanza kuamini katika route ya Daglish, na pili kutoamini katika route ya Comolli (buying highly talented young players for cheap) na mwisho kabisa kumuondoa ofisini, so kwa ego yao ilikuwa ni vigumu kurudi kwa Comolli, wakaamua ku-follow route yake kwa kutumia watu wengine, hapo kwanza wakaamua ku-sign a young manager (Rogders), then wakakaa chini na Rogders na kumpa mchakato mzima wa kile wanachotaka kufanya, kwamba tunataka kutengeneza a good young team kwa kununua young players wenye potential ili wakue na team, na hawa wachezaji wakishakuwa wakubwa ndiyo watakaoleta return ya ku-fund other signings (sell to buy policy), ikumbukwe kuwa FSG paid kwenye region ya 100m for Daglish british signings ambazo zote ziligeuka kuwa flops (tumtoe Henderson), so hawakutaka tena kuingia hiyo hasara, hence wakaja na mfumo wa sell to buy, and kama unahitaji ku-recruit young players wenye potential kubwa you need an extensive scouting team, hence Rodgers recomended Dave Fallows (his friend) ambaye wakati huo alikuwa Man City, sasa alivyokuja Fallows pamoja na Barry Hunter, wakapewa jukumu la ku-identify top young talents around the world, scouting department yote ikafanyiwa re-shuffle, na hapo ikazaliwa Transfer Comittee, ambayo ndiyo ilikuwa inaongoza delegate yote ya scouting department, Dave Fallows and Michael Edwards wote ni proffesional performance analysits, so ilikuwa ni logic ku-form hii TC, na kazi yao ya kwanza ilikuwa ni 2012/13, players ambao walisainiwa kwa jicho la Fallows (as head of TC & Scouting department) ni Fabio Borini, Samed Yesir, Assaidi, Coutinho, Nuri Sahin. Joe Allen & Sturridge zilikuwa ni recomendations za Rogders mwenyewe. Borini/Yesir/Sahin/Assaidi wote wali-flop at LFC, Joe Allen flopped at LFC, katika signings zote za 2012/13 ni mbili tu zilifanikiwa Coutinho & DS, ilikuwa ni disastorious transfer window.

Then 2013/14, the TC again ikiongozwa na Fallows signed Iago Aspas, Sakho, Cissokho, Mignolet, Luis Alberto, Tiago illori. Kolo Toure & Victor moses zilikuwa ni signings za Rogders, hizo signings zote zili-fail at LFC (except Sakho ambae alipishana na klopp kwa mambo ya nidhamu), sasa it was at this point ambapo FSG wakaanza ku-raise questions kuhusu hizi signings, then we sold Suarez, replacements zake ndiyo zika-raise a lot of alarming question marks kwa owners, partners, legends etc, the TC pamoja na Rodgers went on and signed Markovic, Lallana, Lovren, Balotelli, Moreno, Emre Can etc, and the funny thing is Rogders didnt want Balotelli, but Fallows forced the deal, then 2015/16 the TC signed Benteke, Ings, Clyine, and Firmino (Firmino was the first and personal Michael Edwards suggestion at that time)..

Now, lets see this, Fallows as the head of TC & SD, ali-manage ku-oversee 90% of our bad signings, kuanzia uwanjani mpaka financially, na katika kipindi chote alichofanya kazi na Rogders ni wachezaji si chini ya watatu ndiyo walifanikiwa kuwa good signings, so you believe unachosoma google kuwa the same dude ambaye aliamini kuwa Balotelli & Lambert can replace Suarez ndiye alitoa tips kwa Management kuhusu deals za Salah, Mane, Jota, Diaz etc? you believe a dude who suggested Lovren, mignolet, Aspas, ndiye atakuwa the same dude ambaye ame-suggest deals za VVD,matip, Konate, Alisson etc? and you think a World Class Coach like Klopp aliyetokea kwenye team yenye world class scouting system atakubali kufanya kazi na head of scout ambaye alikuwa anadhani Balotelli anatosha kum-replace Suarez? theres a reason why Klopp alivyokuja at LFC alivunja TC, theres reason why Klopp alivyokuja at LFC akamchagua Edwards as his go-to guy over his then head of TC and head of scouting department.

Then, tell "the kop" kuwa tangu Klopp aje LFC hakuna mchezaji wa senior team ambaye amesajiliwa kwa suggestion ya Fallows, the head of scouting department.

Then kwenye football word, kuna kitu kinaitwa "EARS & EYES ON THE PRIZE", na kuna kitu kingine kidogo kinaitwa "word of mouth", Klopp alivyokuja na kuivunja TC, club ikarudi kwenye suala la Sports Director, na ukiwa na sports director kazi ya scouting department inakuwa ni minmum (nitaelezea), moja kati ya requirement kubwa ya Sports Director ni kuwa scouting master na football anaylist m-bobezi, na ukishakuwa scouting master unakuwa na your own "ears & eyes on the prize" hawa ni freelance scouts all over the world, hawa wengi wanakuwa kwenye contacts za kina Monch, Zorc etc, hawa ndiyo wanawapa taarifa kina monch/zorc kuwa Tanzania kuna mchezaji wa aina hii na hii itabidi umuone, hapo Monch/zorc anatoa order kwa head of scout wa club kufatilia in depth analysis ya huyo mchezaji, sasa at LFC baada ya Comolli kuwa sucked, we decided to work with no Sports Director hence formed a TC ambayo iliwapa kina Fallows mandate kama ya Sports Director (Ian Ayre was not a Sports Director), but when Klopp came tulirudi kwenye mfumo wa Sports Director, ambapo Edwars aliteuliwa, Klopp decided to trust talent ya Edwards kwenye performance analysis, na kwenye upande wa extensive scouting they decided to work together as a team (Klopp Edwards, Krawtiez, Buvac and later Ljinders and other legit connections around europe), which helped Edwards kuongeza connection zake binafsi na ku-sharpen his negotiation game.

Now, players wote walio-sainiwa chini ya Klopp, ni tips kutoka kwa plugs za Klopp, Edwards, Lijnders, Buvac, Krawtiez (btw you think Krawtiez ni just an assistant coach?), you see, Klopp ana aina yake ya anayocheza, tutumie ishu ya high-line defending, kwa mfumo huu lazima atahitaji sana pacey CB, mwenye attribute sawa na VVD/Gomez/Matip, then Klopp anaongea na kina Krawtiez, Krawtiez anamwambia Klopp, Bundesliga na France kuna young CBs wazuri sana itabidi tuangalie huko (assume Krawtiez hana recomendation), sasa Klopp anamwambia SPORTS DIRECTOR, nahitaji mchezaji wa namna hii, Sports Director ambaye now ana connection around Europe, anauliza kwa his "ears & eyes on the prize" kuhusu aina ya mchezaji anayemtaka, anapewa list ya wachezaji pamoja;

1. Partial Profiling
2. Playing Style
3. Strength & Weaknesses
4. Injury Record, etc

Then, Sports Director anaangalia na anapick 3 players (Plan A, plan B, plan C), akishapick, anamtumia Head of Scouting department kwaajili ya EXTENSIVE SCOUTING (3 months - 1 year), so head of scouting department anatakiwa ku-deal na wachezaji hao hao aliopewa, na akimaliza kazi, anarudisha full package yote kwa SD, SD anapeleka package kwa MANAGER, then manager na his coaching stuff wakiridhika, wanatoa go-ahead then owners wanapewa taarifa na kazi ya kujaribu kum-sign inaanza. another scenario, mfano tunacheza na Inter Milan, Klopp akawa impressed na Lautaro Martinez, ni lazima atamwambia SD kwanza afatilie his other aspects of the game ili kuona kwamba anaweza ku-fit kwenye mifumo yake ya uchezeshaji. na pia naamini umeelewa nilivyosema EXTENSIVE SCOUTING, maana wengi wetu tunajua tu kuwa ku-scout ni kwenda uwanjani kuangalia mchezaji, scouting ni tough job, kuna kumu-watch mchezaji na ku-see mchezaji, you need to SEE him.

In short thats how our scouting system works under our SD & Klopp (The MANAGER).


2. TRANSFER BUSINESS.

Under Klopp, LFC are operating under "ears & eyes on the prize" & "word of mouth", kama Dortmund, Madrid, Chelsea, Spurs, Juventus, Roma and even Utd, hizi Clubs zinategemea zaidi effiency ya SD kuliko kitu chochote katika suala la Transfer Business.

Transfer Business ni one of the most corrupt scene in football, a lot of things are conducted behind the scene, ukiona highly profiled players kafanikiwa kusajiliwa kwenye club yako ujue kuna kazi kubwa sana imefanyika behind the scene, na kama mchezaji ambaye unamuhitaji anatakiwa na team nyingi ni lazima uende extra miles ili kumpata, na hapo ndipo rough, na professional football spies ("word of mouth") wanaingia, lets say Salah wants to leave LFC, FSG tayari wanakuwa na price tag yao (negotiation starter), sasa Maybe madrid wanakuwa wa kwanza kuongea na Salah's agent kuhusu personal wages then wanakuwa wa kwanza kuongea na FSG, FSG wanakubali/wanaomba siku kadhaa za ku-evaluate bid ya Madrid, football Spies wanatuma hizi details kwa clubs zingine ambazo zipo interested, maybe PSG, so PSG washajua Salah ametaka mshahara wa kiasi gani, na pia wameshajua fee ambayo FSG wanashawishika nayo, so wanachokifanya ni ku-top wages & bid bila hata kwenda kwenye negotiation table, unakumbuka Chelsea walichotufanyia kwa Salah, unakumbuka Chelsea walichowafanyia Spurs kwa Willian, unakumbuka sisi tulivyofanyiwa na Dortmund kwa Mikhtaryan, unakumbuka Barcelona walichowafanyia Madrid kwa Neymar etc, mifano ni mingi sana, na sisi recently tumewafanyia hivyo Spurs kwa Luis Diaz, na tuliwafanyia hivyo Utd kwa Fabinho.

LUIS DIAZ, klopp & his team wants depth upfront, they want mchezaji ambaye ana-style of play inayofanana na Mane ili kusiwe na gap kubwa ya ubora kati yao, the words gets out kwenye scouting world, our scouting team (Under Fallows) manages to give names like Traore, Dembele (Barcelona) etc, our SD personally suggests Pedro Neto, sasa Lijnders ambaye kafanya kazi Porto na ana strong ties pale, anaambiwa na watu wa Porto kuwa kuna kijana wetu Diaz amedevelop vizuri sana na Club inajiandaa kuanza kutafuta suitors as they feel price yake ita-solve financial problems (Porto sold Diaz kwasababu ya matatizo ya uchumi waliyonayo now), Lijnders anaomba partial detailed profiling ya bwana mdogo, anaileta kwa Klopp & management, then anapewa SD, SD anatoa maelekezo kwa our scouting dept kwa ajili ya extensive scouting, he's south American, so anahitaji scout wa south america, anapigiwa simu "Biggie" Troiani, LFC chief Scout SA, bila hiyana anatoa link ya a well connected Spanish & portuguese Scout Siegrist, Siegrist anapewa kazi ya kufanya EXTENSIVE SCOUTING ya Luis Diaz, and the development was good, na during his scouting work, Diaz alikuja Anfield kucheza nasi kwenye CL, and Klopp was personally impressed pia.

Sasa, plans zilikuwa ni kumsajili Diaz in the summer, but Spurs firm interest forced our hands, Siegrist told the club kuwa it will take us some-time again kupata a perfect LW kama Diaz in the market na kwa price ambayo yupo quoted nayo, maana his output and style of play is perfect for Klopp & LFC, so we decided to act, na kama Siegrist angesema kuwa he's good but tutapata mwingine kama huyu, Club ingeacha Spurs waendelee naye, but amongst everything Siegrist report iliwapa moto sana kina Klopp, na ndiyo maana akapewa mpaka kazi ya kuandaa medical south america, kazi ambayo kwa siku nyingine angepewa Chief Scout (Troiani, boss wa Siegrist kwenye our SA pot), but this is our MANAGER anapenda ku-repay direct favours.

Then, nimeona hapo umemtaja Kike kuwa ndiye alitoa tip kwa LFC kuhusu Diaz? Kike yupi? the only scout ninayemjua ambaye anafanya kazi na midtable PL clubs nyingi na sijui kama bado ni official based Watford club chief scout in Spain & Portugal, anaitwa Kike Alonso (check him out), huyo Kike ambaye alitoa link kwa Club ni yupi? his fellow brothers/friends aliofanya nao kazi Porto ndiyo walimwambia Pep Lijnders kuhusu Diaz, maybe kati ya hao jamaa kuna mtu anaitwa Kike, but hakuna Scout anaitwa Kike ana-deal na LFC direct.

Then, 90% of Klopp's signing zimefanikiwa kwasababu anaamini katika involvement structure, kila mtu wake wa karibu anaweza kumpa heads-up za wachezaji around Europe na hadharau kabisa, Wenger, Fergie, Mourinho, Guardiola pia ni fan wa hili suala, ndiyo maana walifanikiwa sana.

Then, speaking of Dave Fallows, its not like he's not working, he's working, kuhakikisha kuwa scouting reports zinakamilika ontime etc, but ile power aliyokuwa nayo wakati wa TC hana tena, power ipo kwa SD na management, yeye anapokea orders na kuzi-see out operations, Unajua when Fallows had power at LFC, tulipata scandal ya ku-hack scouting database ya Man city (2013), we had to pay €1m+ kama settlement fee, and we were lucky because Man City hawakutaka kwenda na hiyo ishu mbali zaidi.

Then, Fallows kama head of scouting department amefanya kitu gani kwenye our academy? our academy is weak, recruitment structure is bad and not working at all, Dave Fallows alitakiwa awe anapewa praises za kuwaona kina Elliott, Fabio, Gordon etc, but no, hazipati because hamna alichokifanya, na ndiyo maana Klopp aliona kuwa uwezo wa jamaa ni kuratibu na ku-see out mipango yote ya scout reporting around the world, basi.
 
Salute you bro the know how of this transfers dude operate is always welcomed here i mean us we see what's media says but yoy guys are in this for real damn nuff respec bro and dont give up its hard to crack the set upof this dudes but persistence will definitely pay up one day.

Am humbled the way you share this issues in depth in a very simple kwetu kuelewa. Thanks very much MosDef.

On day man utapata a proper channel to profile this young dudes and step up your dream man. Never give up no matter how long its will take.

YNWA
Thank you a lot Mkuu

God is Good.

Naona Utd wamepewa free points leo, a laughable red card.
 
You can't give Milner another year on his current wages and then say you can't afford to pay Salah what he's asking for.
Milner is on 140k p/w, theres no way deal yake mpya atakubali kukatwa nusu ya mshahara, maybe atakubali 100k

After Henderson deal, tunaelekea kwenye another bad deal and i like Milner, i think he's a good pro.

Hili suala la kuwa anahitajika kwaajili ya dressing room halina mashiko kama atabakia kwenye his big wages.
 
Hahaha dont mention that era we had the believe that to recapture our lost glory we had to rely mostly buying mediocre players who couldn't handle the expectations damn that was one hell of dark patch.. By the way the old Liverpool success was mostly due to this dudes from Europe and i guess even after that we maintained believing to gain ground we had to buy British duu then came Klopp and changed the whole set up aint this man made for Liverpool.
Downing, Keane, Lallana nk ilikua big gamble to get back to the top. On top of that Carroll haha nilisoma mahala the Newcastle guys couldn't believe we made that CRAZY offer for Big Andy, walitupiga kweupee kabisa. Hata Carroll mwenyewe was confused alivyoambiwa he thought its was April 1st jokes man. For Klopp to remodel the recruitment department aligned with his taste of football is just another level. Klopp says he won't buy for the sake of buying unless that player is coming loaded with potential only then he can engage.

Well about Bowen at least we agree its wild gamble and am positive boy can do well at Liverpool. Klopp has spoken highly of the boy and tha means something. But again why again for £70 abakie alipo hio ela sio halali yake.

Umesema ma robot imenikumbusha the way Declan Rise is gaining suitors uzuri naona we ain't being mentioned kumhitaji maana his price will be crazy. Chelsea, Manchester United naona wanatajwa na ni bora wamgobanie huko sie tukampate Bissouma bila auction hahaha.

Any British player sold above £40m ain't worth the chums bora tukuze hao British players from the academy waje ku supplement kikosi design kama Jones, TAA nk

Huyo Jude naona bei ni janga at £100m jamani he ain't even a decorated winner lakini bei khaaa hapana. To be precise i would rather go for Jacob Ramsey very hard working boy and stil very young.

Buying any player out there is a gamble man. I look at Dembele at Barcelona the price they paid and his output ni hovyo. He was on fire akiwa Dortmond lakini the move failed. Messi at PSG haven't lived to the expectations of the fans na mpaka sasa mashabiki kule wanamgomo they want this stars out of the club. Pona yao naona washinde UCL msimu huu otherwise its getting ugly the fans want Leornado gone as soon. And the frustration of the fans is fathomable considering the squad is well equipped and paid so well.

In the meantime lets wrap Fabio deal he is a pure gem man. Born in Portugal made in England haha thriving at Liverpool come next season that would be his song at the Kop.

YNWA
Jude is a special talent.

Bowen, can be a good buy kama akiwa rotational player (squad player), but as a starter atakwama tu, na huwezi kununua mchezaji wa 70m+ afu awe squad player chini ya FSG.

Bowen yupo kwenye his comfortable zone, yule hata akienda Spurs atapata tabu ku-adopt, hizi clubs zetu kubwa zinahitaji sana instant impact, si unaona kina Pearce wapo on Diaz ears already, not even allowed to settle, sasa kama una strong mentality ndiyo unaweza kupigana vita na hawa LFC jouranalists, unakumbuka walivyokuwa wanamwandana Fabinho, then kipindi kile Firmino, hawa kina Keita ndiyo kila siku, unakumbuka jinsi walivyokuwa on Trent ears wakati anaanza at his RB journey, kina Sterling, emre can etc, kama una moyo mwepesi una potea, na ni kitu many of these white British hawana, unaona Maguire, Grealish etc, pressure za nje ya uwanja zinavyoharibu performances zao, sasa unamnunua Bowen kwa more than 70m, anakuja LFC games 3-4 za kwanza anacheza vibaya, makelele yatakayotoka hapo from Skysporys/BBC/TalkSports pundits, journalists, rival fans, alafu kuna sie wapondaji wa kila siku, kumrudisha kwenye hali yake ta kawaida inaweza ikachukua time au isirudi kabisa.

Kwanza, ukimsign Bowen for 70m, unaigawanya fanbase kabisa, hawa watoto ambao wanaona kina Mane, Salah, Jota, Firmino, Diaz wanacheza ule mpira wao, huwez kuwaambia Bowen atafaa (He's brexit & hana swag lol), so na usiombee vita ya hawa watoto na proper reds, huwa inakuwa chungu sana, Henderson siku ile ameshinda tuzo ya waandishi wa habari akawa analia, alikuwa anakumbuka machungu aliyopitia kwenye hii vita, Lallana siku ile kwenye ile farewell interview alikuwa analia, vita ile ilimjia machoni, kina Lovren etc wote wanaijua, sasa kama mchezaji huwezi ku-handle hizi pressure unapotea, maana fans watataka instant impact.

These are the same LFC fans ambao wanataka a 7m signing Takumi acheze kama Prime Messi, sasa itakuwa kwa 70m?

Naweza, nisidoubt uwezo binafsi wa Bowen, but again signing for big club with a big fee comes with huge huge reposibilities.
 
Such a think tank I would love him in place of Jurgen when Jurgen decides against staying
Hahaha mzee wa gengenpressing aka The Brain.

Well in football never say never. Si umeona Balloteli kaitwa timu ya Taifa Italy hahaha ndio usije shangaa huyu mwamba Buvac akaja rudi tena nyumbani labda hata msaidizi wa Pep Lijnders.

YNWA
 
Thank you a lot Mkuu

God is Good.

Naona Utd wamepewa free points leo, a laughable red card.
Raghnick needed that breather. They cant hold to kill games lately mpaka babu kazeeka ghafla sana.

They were unlucky to get the red card. Brighton plays best as a unit no wonder they are hard to beat so ukimtoa Dunk balance inapotea. United players were all over the ref crying like babies jamaa apewe red yaaani that thier escape route.

YNWA
 
Mimi nilisema huyo lisbon tunampiga goli za kutosha huko huko kwake
Hahahaha hongera ndugu.

Kipara huku hua haharibu subiri afike semi faino au fainali hapo sasa ndio kikosi anapanga kama kapiga kvant hahaha. Baada ya vipigo utamsikia nilaumiwe mie kwa kupanga sivyo kikosi haha wewe subiri utakuja ona.

Kipara over thinks going for perfection.

YNWA
 
Jude is a special talent.

Bowen, can be a good buy kama akiwa rotational player (squad player), but as a starter atakwama tu, na huwezi kununua mchezaji wa 70m+ afu awe squad player chini ya FSG.

Bowen yupo kwenye his comfortable zone, yule hata akienda Spurs atapata tabu ku-adopt, hizi clubs zetu kubwa zinahitaji sana instant impact, si unaona kina Pearce wapo on Diaz ears already, not even allowed to settle, sasa kama una strong mentality ndiyo unaweza kupigana vita na hawa LFC jouranalists, unakumbuka walivyokuwa wanamwandana Fabinho, then kipindi kile Firmino, hawa kina Keita ndiyo kila siku, unakumbuka jinsi walivyokuwa on Trent ears wakati anaanza at his RB journey, kina Sterling, emre can etc, kama una moyo mwepesi una potea, na ni kitu many of these white British hawana, unaona Maguire, Grealish etc, pressure za nje ya uwanja zinavyoharibu performances zao, sasa unamnunua Bowen kwa more than 70m, anakuja LFC games 3-4 za kwanza anacheza vibaya, makelele yatakayotoka hapo from Skysporys/BBC/TalkSports pundits, journalists, rival fans, alafu kuna sie wapondaji wa kila siku, kumrudisha kwenye hali yake ta kawaida inaweza ikachukua time au isirudi kabisa.

Kwanza, ukimsign Bowen for 70m, unaigawanya fanbase kabisa, hawa watoto ambao wanaona kina Mane, Salah, Jota, Firmino, Diaz wanacheza ule mpira wao, huwez kuwaambia Bowen atafaa (He's brexit & hana swag lol), so na usiombee vita ya hawa watoto na proper reds, huwa inakuwa chungu sana, Henderson siku ile ameshinda tuzo ya waandishi wa habari akawa analia, alikuwa anakumbuka machungu aliyopitia kwenye hii vita, Lallana siku ile kwenye ile farewell interview alikuwa analia, vita ile ilimjia machoni, kina Lovren etc wote wanaijua, sasa kama mchezaji huwezi ku-handle hizi pressure unapotea, maana fans watataka instant impact.

These are the same LFC fans ambao wanataka a 7m signing Takumi acheze kama Prime Messi, sasa itakuwa kwa 70m?

Naweza, nisidoubt uwezo binafsi wa Bowen, but again signing for big club with a big fee comes with huge huge reposibilities.
Man we ain't gonna pay £100m for Jude haha better we gamble and get his brother Jobe Bellingham ... Dortmond after selling Sancho sasa wanasubiri timu zimshukie huyu dogo mazima na mpango wao baada ya kupata kwa Sancho na kuedelea kuwekeza zaidi kwa British born players. No wonder Zorc was after Fabio Carvalho in serious note to make him a star for 3 seasons then cash on him.

Hawa ma Pundits wa kingereza mkuu ni noma sana yaaani wakianza kuwasifia akina Henderson utasikia whats a man, whats a leader in the pitch and out of the pitch nk kwa kweli hua nawashangaa but in the same time nawaelewa maana hao hao wakianza kumdonoa mpaka dogo anazeeka ghafla yaaani they are just unpredictable hakuna kuachilia they demand highest performance ili kua nao on th same side.

Just imagine ile hat trick ya Salah Trafford angefunga Henderson/Milner haha yaaaaani all the pundits wangemwaga sifa sio za kawaida. Jamaa wanapenda sana wa kwao. Bahati nzuri sana most of the foreign Liverpool players have talent and they let the performance speak kuliko kusononeka na maneno wao wanakomaa uwanjani kwa sasa wameanza tena kwa Firmino na Mane kwa vile magoli kwao yamepungua yaaani the spotlight is very high no relaxing so I agree with you local born dudes are sucked up by the intense pressure and expectations and rarely they come on top. Fabinho is the perfect example of why hard work and concentration is the key to survive in professional football . They wanted his skin and boy had a mission akawanyamazisha wote with top performance uwajani.

But man at least mashabiki uwanjani wana behave to some extent they are behind the team. Hata Gini alisema the keyboard fans on social media were really tough on him. Walimwedea mazima na kila timu ikifanya vimbaya wao walikomaa na dogo. Lakini alisema mashabiki uwanjani kulikua tofauti kabisa. They showed him love. Wakati kwa media he was greedy nk

On side note naonaga mashabiki wa Barcelona na Real Madrid ndio wa hovyo. The standards are so high kiasi if a player is out form jamaa wanamzomea uwanjani balaa regardless ni nani yaliwai kumkuta Ronaldo, Modric, Eto nk huku Macca nk nao wakiandika yao. This players are human, loss of form will happen. Hata Salah hajafunga goli mechi ya 5 lakini huyo huyo alifunga goli kwa mechi 10+ mfululizo and we okay na mchango wake pinning the defenders while the others score. Ni team work sio kazi ya Mchezaji mmoja.

So in other way we assume Bowen at £70m not coming hatumtaki. That means probably Elliott will head to up the field awe like for like Salah sub then if Fabio Carvalho take his spot as right AM. Assuming Klopp wont enter the market for new forward and we maintain status quo of the squad . Either way we settled. Diaz and Jota wapo flexible playing either flank or middle.

Of all the players i feel for Gomez. He need a miracle. I still prefer his partnership na VVD but alivyo sasa is a shadow of himself. Nimeangalia gemu za hivi karibuni Matip naona uchovu umemkamata aisee, pia his judgment under pressure inanitia wasi wasi sana. His instinct/positioning ni tatizo pia. Bila ubora wa Fabinho kwa kweli tungeshalala. Gomez is quick akiwa kwenye peak na hii high line is well caved for the boy yaaani. Inter Milan are a pressing machine yaaani no margin of error tonight we need Matip at his best kama akicheza.


YNWA
 
I understand you.

But, football business huwa ina-generate good money & profit kutokana na maendeleo ndani ya pitch, siyo nje ya pitch, i mean you can accumulate good deals/sponsors/partners kama team inafanya vizuri ndani ya uwanja (trophies), because team yeyote inayofanya vizuri ndani ya pitch huwa inabeba vitu vitatu muhimu sana katika football business;

1. Star Power (Players & Manager)
2. Global appeal
3. Trophies

football ni business, but to make it kuwa profitable business unahitaji hivyo vitu vitatu, na vyote vinategemeana na vyote vinatokana na mafanikio ya ndani ya PITCH, na ili upate mafanikio ndani ya pitch itabidi uwekeze katika players, tengeneza players ambao watakuwa na star-presence, mfano at LFC, siyo kila mtu anaangalia au anafatilia team kwasababu ya ushabiki, kuna watu wanaangalia LFC kwasababu ya Salah, VVD, Mane, TAA, Alisson, Thiago, Fabinho, Firmino etc, hii ni star-power, na kuitengeneza inachukua time, especially kwa Club yetu ambayo inajiendesha kwa faida zake yenyewe, we should respect this.

I mean, tulipata a nike deal kwasababu ya our global appeal, ambayo ilikuja kutokana na trophies+star-power ya wachezaji tulionayo, FSG took over in 2010, but value ya Club imekuja kuongezeka maradufu after 7 years walizokuwepo at the club, na hii ni baada ya Klopp & star players aliowatengeza kubadilisha kabisa upepo wa LFC, siku hizi kila siku Club inapata new business partners all over the world, ni kwasababu ya star-power na global appeal iliyotengezwa na team kufanya vizuri ndani ya uwanja, LFC ni top 3 kati ya clubs zinazo angaliwa zaidi duniani, few years ago haikuwa hivi, LFC haikuwa na strong base Africa, but now ipo kubwa sana sababu ya Salah, Mane & Keita, you can sell everything related to LFC kwa wa-Misri, not because they love the club, but kwasababu hero wao anacheza LFC, same to Mane in Senegal & Keita in Guinea.

So yes, we can sell Mane & Salah, but can we replace their star-power kwa mara moja? (achana na output yao uwanjani), tunaongelea biashara, utd can pay Ronaldo 500k p/w sisi hatuwezi hiyo, Chelsea can buy any player for £100m sisi hatuwezi hiyo, City can buy players like Grealish for 100m na kumfanya kuwa rotational player, sisi hatuwezi hiyo, sisi tunanunua rough diamonds kwa £5m-£45m (inflated market) na kuzigeuza kuwa diamonds safi (Mane, Salah, Firmino, Fabinho, Jota, Diaz, Robertson, Coutinho, Gomez, Suarez, Torres etc), Under Klopp ni wachezaji watatu tu wamevuka mark ya £50m (VVD, Alisson, Keita) and we bought VVD +Keita for Coutinho money, and we had to choose Alisson over Fekir because budget ilikuwa tight (Fekir ni one of La Liga best players now na his knee is fine), FSG wana-operate kwenye tight budget, Diaz will replace Mane eventually, but ingekuwa ni Utd/City/Chelsea wangem-replace Mane na mchezaji mwenye star-power kama yake.

If you lose Salah/Mane/Firmino in the same window, unakuwa unapoteza hela nyingi sana kwenye upande wa commercials/deals/sponsors, Nike wanawekeza LFC kwasababu kuna wachezaji wakubwa ambao watawauzia jerseys zao, juzi zimetoka takwimu, Salah anakimbizana na kina Messi/Ronaldo kwenye mauzo ya Jersey, sasa unamuuza Salah, then unamsign Bowen ili am-replace who will buy Bowen shirts outside of scousers?

Sadio Mane, amegenerate a lot of Money for this club na bado ataendelea ku-generate a lot of money, because bado ana-play big part kwenye competition zote tulizopo, na kuna jinsi ya ku-phase out players, angalia City, Madrid, Bayern wanavyofanya, na ndio maana hizi team bado zipo juu sana kimpira, angalia City walivyowa-phase out kina Aguero, silva, kompany etc, na angalia sahiv wanavyom-phase out Fernandinho, imemchukua Pep 2 seasons kufanikiwa kum-mould Rodri, it took Pep years kumruhusu Aguero baada ya ku-perfect style ya kucheza bila recognizable striker, Pep knew itahitajika hela nyingi sana kupata mchezaji ambaye ataweza ku-replace output ya Aguero, na alikuwa haoni ST wa maana na kwa bei zilizopo, and thats why hata Aguero alivyoondoka, Pep hakuwa na haraka ya kukubali demands za Levy, kama angekuwa desperate angelipa 100m for Kane, na siyo kwamba kina Mansour wangeshindwa kulipa 100m for Kane, but Pep hakuwa desperate.

Sasa, sisi hatuna hela ya kununua kina Haaland or Mbappe, tuna hela ya kununua kina Diaz & Jota, na kuwafanya kuwa stars, we bought Mane & Salah kila mmoja kwa fee isiyozidi £40m, na wamekuwa global stars kupitia LFC, na ndiyo hicho tunacho-hope kwa Diaz na Jota, its not like we can sell Salah today na kukubali kumpa Mbappe 400k p/w, hatuwezi, hatuwezi ku-replace like for like, and it wont suprise me kama Klopp atamgeuza Fabio kuwa our false 9 (Firmino replacement), thats how we operate.

Angalia EPL, na ntajie Left Wingers watatu unaodhani ni bora zaidi ya Mane now, you cant just sell him because you want to, teams zote ambazo zimekaa on top muda mrefu huwa zina-culture ya ku-keep important players wao kwa muda mrefu, lets say msimu ujao Diaz atakuwa anaanza, dont you find it breathtaking kuwa na mchezaji kama Mane akitokea bench? kuliko kina Minamino au Gordon?, City kina Mahrez wanatokea bench, Chelsea kina Pulisic sometimes wanatokea bench, and you wonder why Tuchel amebeba important trophies kwa muda mfupi?

Jana against Burnley, the midfield was struggling to contain Sean Dyche team (He's a LFC fan but he hates us, i dont know why) and soon baada ya half-time, Klopp akaangalia bench lake akamuona Thiago, akamuita akamwambia ingia ndani humo control the game and kill their tempo, na alivyoingia Thiago, si mmeona Burnley walivyopotea, sasa you think Milner, Ox, Morton etc wangeweza ku-supress momemtum ya Burnley ambao wapo kwao na wanapigania maisha yao ya EPL? kila siku tunasema Pep anatumia hela nyingi, No, ni kuwa ana luxury ya kuwa na quality depth, ukiwa quality depth unakuwa na uwezo wa kuwa na plans A, B, C na varieties nyingi sana uwanjani, jana ile game ya burnley tulikuwa tunapotea bila ile sub ya Thiago (point blank), jana Captain was struggling, Klopp reacted fast, but kama asingekuwa na reliable CM, angeamua ku-gamble tu na Captain mpaka mwisho, ndiyo ungekuta tunalalamika humu kuwa Klopp hapendi kufanya subs, kumbe haliamini bench lake.

Tumekuwa tukililia quality squad depth, na sasa ndiyo hii tunaishuhudia, we should embrace it.

At one point LFC ilikuwa na kit sponsor Warrior, Nike/Adidas walikuwa wanampa deals SG tu, hakuna kampuni kubwa iliyokuwa inataka kuwekeza kwenye team yetu at that time, now we get these big deals because tuna players wenye global appeals.

Man utd, can still attract sponsors because kina Glazers wanauwezo wa kununua kina Sancho, Varane etc na ku-offer big wages kwa global star kama Ronaldo, sisi HATUWEZI, we wanted Sancho kabla ya Utd, na aliongea mpaka na Klopp, but tulifeli kwenye Fee, tukaja na gear ya kuomba camp ya Sancho itupe time, football spies walivyopata hizo fununu, kwamba Sancho wants to leave Dortmund, waliwapenyezea Utd, na Utd walichofanya ni ku-present a big wage package to Sancho ambapo ilikuwa ni easy kwa kijana kama sancho kukubali (£350k p/w) nobody is turning that offer down, Luis Diaz who i believe will turn out to be a BETTER SIGNING than Sancho, mshahara wake ni £57k p/w at LFC, this is how we operate, and trust me Klopp will mould Diaz kuwa a world beater.

Na kwenye post yangu, nilisema, give Mane & Firmino atleat 2 years, klopp will leave in 2024, Kama summer hii tuta-sign understudy mwingine, let them get moulded by Klopp, ili akiondoka wawe tayari ku-fire under the new manager, bila kuathiri the nature of our business.
Hii ni miongon mwa post kali kweny hii thread.👏👏 I like it soo much
 
Screenshot_20220216_120328_com.android.chrome_edit_153854985614021.jpg


YNWA
 
Screenshot_20220216_120114_com.android.chrome_edit_153842038490065.jpg


Huyu Nkunku anatufaa naona Profesa Raghnick anamshukia mazima Juni 2022.

Huyu Haller pale Westham sidhani hata kama ana goli 10 lakini pale Ajax kazaliwa upyaaa.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom