Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Second Half Crystal Palace walikuwa moto sana, sema kama sio refa kuwa upande wenu, msingechomoa
 
source told the BBC: "We sent a team of policemen to a house at Coleah in Conakry to restore calm after some youths attempted acts of riotous conduct in a house believed to be the family home of footballer Naby Keita."

The report claims that "the youths were venting frustration at one of Keita's relatives who they believed had performed witchcraft, affecting the Liverpool star's Nations Cup performances and increasing his recent spate of injuries."

Captain Marvelous kumbe Keita kalogwa kwao bana sisi tunahangaika nae kila siku yupo kwenye crutches

Huyo Mrogaji itakuwa ndiyo wale shule DIV 1 halafu akagraduate Chuo Kikuu na First Class, Sasa kila akijiangalia na Degree lake lote lakini mambo kwake ni Magumu hamiliki hata Pikipiki wakati Keita kaishia Darasa la 4 tu lakini maisha kwake kayapatia! Jamaa naona hakuna namna isipokuwa amroge tu ili wawe sawa.
 
Sijui Itakua Nimechelewa Kuijua Vizuri League ya England Hasa Kwenye Upande Wa Mashabiki au Nitakua Niko Sawa Na Muda, Ila Kwa Apa Kwetu Ni Muhudhuriaji Mzuri Wa Uwanjani Match Nyingi Anzocheza Simba Nyumbani Hua Nipo Na Ichi Kitu Nimeanza Kukielewa Kuna Utofauti Mkubwa Sana Wa Mashabiki wa England Na Sisi Huku Kwetu.

Timu Zinapoingia Uwanjan/Pitch Kuna Ile Nyimbo Hasa Anfield Hua Mashabiki Wanaimba Ooo Mi Mpaka Mwili Hua Unasismka Yaani Ata Mchezaji Unapata Nguvu Ya Ziada Sana Hasa Unaposkia Zile Sauti. Na Nimekua Mfatiliaji Wa Page Mbalimbali Za Mashabiki Wa Liver, Nimekutana Na Hii Page Imenifanya Niandike Haya Yenyewe Inapost Nyimbo Mashabiki Wanazowatungia Wachezaji Zao au Nyimbo za Shamra Shamra Kushangilia Ushindi, Yaani Namna Wanavyoimba Ni Unaskia Ile Hisia Ya Utamu na Mapenzi Kwa Club ya Ndani Kabisa Mpaka Najisemea Izi Club Kweli Zimebeba Furaha na Amani Za Mashabiki Wengi Sana.

Uku Kwetu Tutashangilia Litakapoingia Goli tu au Pale Mchezo Ukiwa Upande Wetu tofauti na Ivyo Ni Kumlalamikia Refa na Wachezaji Mpaka Mpira Uishe ni Sawa Hakuna Shabiki Atakayetaka au Kupenda Kufungwa Ila Uku Kwetu Ni Imezidi.

Liver Wachezaji Wengi Wana Nyimbo Zao Yaani Walizotungiwa Inaleta Utamu Sana Kukiwa Na Vibe La Nmna Hii Uwanjani Ipo Siku Nitakua Anfield Pale Wale Jamaa Wanavibe Sana Wengine Sie tunapenda Zaidi Ya Tuvionavyo Kwenye Pitch, Ukweli Hamasa Za Wana Liverpool Ina Utamu Wa Aina Yake Sana.
 
Nina viporo viwili na baada ya hii winter break kikosi kinarejea kikiwa kamili ki ufupi hapo kwenye 48 ongeza pointi 6 aafu uanze kuleta maneno yako hapo.

YNWA
Izo game zenu za kuahirisha kisa korona ..Nani ajui nyie kuku ni waoga ..mbona sisi vidume tumekipiga ivyo ivyo!?? na viporo lazima vichache..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom