Basi tutoe goli moja tubakie na goli 2 wao 1 na pointi bado zina rudi Anfield hahaha...Jamaa wanalalamika kuwa tumepewa penalty ya mchongo.
Watabakia kusema hvyo hivyo point ni point tu.Jamaa wanalalamika kuwa tumepewa penalty ya mchongo.
Kumbe ww huwa unaangalia mpira kwa kutumia livescore? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angalia ubao unasoma ngapi Apo wanaume tuko kazini ..ngoja tumalize kazi Kwanza ..,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
View attachment 2093136
Chalianguu usharudi kutoka Dubai?Angalia ubao unasoma ngapi Apo wanaume tuko kazini ..ngoja tumalize kazi Kwanza ..,😂😂😂🤣
View attachment 2093136
Sema huyu mwamba handsome sana
Kitambo Sana chali wangu saivi Niko zangu kijenge juu uku nakula Kush aise😀😀😀Chalianguu usharudi kutoka Dubai?
Mkuu LiveScore ndio mpango mzima ..mambo ya kucheki game uku umebana maniaje aise siwezagi aise😀😀😀Kumbe ww huwa unaangalia mpira kwa kutumia livescore? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]