choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,089
sijamuona Keita leo, ni corona? pancha? au nn
Klopp kashasema anafuata ushauri wa watalaam na yeye sio mtalaam mambo ya afya hivyo haya sijui tunaogopa gemu nimeyasikia kwako na ki ufupi hayatuhusu kwani kuna kamati ya Ligi inayoratibu haya mambo kutokana na ushindi uliopo usidhani ni rahisi hivyoIzo game zenu za kuahirisha kisa korona ..Nani ajui nyie kuku ni waoga ..mbona sisi vidume tumekipiga ivyo ivyo!?? na viporo lazima vichache..
Suspended kwa kadi mbili za janosijamuona Keita leo, ni corona? pancha? au nn
Yankees wana kopi na ku pasti kilichofanikiwa America na kuleta UK Liverpool. Walisahau jambo moja huo mfumo ni cycle ina mwisho na pia our cash cows loaded Spain clubs Barcelona na Real Madrid are bust hawana tena nguvu ya pesa kuja kununua wachezaji kama zamani.Ila hao FGS nao somehow ni wehu aisee..
Hawataki kusajili,mahandsome wetu akina Fabinho ,TAA VVD wanacheza non stop bila kupumzika kisa kikosi chetu finyu
Haina kelele bablide. Nikitimba fasi ya chuga ntakucheki tushuhudie game moja nikiua mtu.Kitambo Sana chali wangu saivi Niko zangu kijenge juu uku nakula Kush aise😀😀😀
Aina kwere baba etu..Haina kelele bablide. Nikitimba fasi ya chuga ntakucheki tushuhudie game moja nikiua mtu.
Unabishana na mtu ambae anaangalia mechi livescore mkuu? It means kwamba huwa haelewi chochote yeye ni ubishi usiokuwa na maana.Klopp kashasema anafuata ushauri wa watalaam na yeye sio mtalaam mambo ya afya hivyo haya sijui tunaogopa gemu nimeyasikia kwako na ki ufupi hayatuhusu kwani kuna kamati ya Ligi inayoratibu haya mambo kutokana na ushindi uliopo usidhani ni rahisi hivyo
Fahamu pia sio gemu zote tumehairisha sisis. Ile gemu ya Leeds tarehe 28 December waliomba wenyewe isichezwe sasa hapo bado utasema tuliogopa sisi.
Tulia sidano iingie tuna viporo viwili murwa kabisaaaaa.
Usihofu sana mpira dakika 90+ hivyo lolote linaweza tokea.
Shinda mechi zako na sisi tushinde zetu Mei sio mbali tutajua nani kidume.
YNWA
Aisee upo na mimi hizi mechi dah.!!Ile come back kila mtu huwa inamtesa sana.
Mechi zangu mbaya za muda wote nasitakagi hata kuziona marudio yake
i) vs madrid( uclfinal 2017/2018)
ii) vs C palace msimu wa 2013/2014
iii) vs chelsea msimu wa 2013/2014(SG anaanguka)
Hicho kiburi ndio anguko lako hutoamini na kipara wakoNasikia mnataka kuchukua epl bana ...
Liverpool kuchukua epl huu msimu ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ....Mimi siogopi gap la point 6 ,nataka mje mtufikie kabisa kwa point 1 harafu tuanze mbio tuwaone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]