Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220123_135021_com.android.chrome_edit_51285822477069.jpg

YNWA
 
Yule bwana mdogo Dwight Gayle sasa yupo Newcastle. Dogo sitokaa nimsahau huyu noma sana.

YNWA
Mpaka dakika ya 79 tunaongoza 3-0. Come full time 3-3

Ila Suarez ukiachilia mbali tabia zake za kishenzi ni mchezaji mfia timu yani alikuwaga anataka kushinda tu hataki habari nyingine. Ni wachezaji wachache sana ma fighter kama Suazombie.
 
Liverpool inaweza ikatu disappoint leo

But all the best,, crystal palace obviously it's tough game
Since that 3-3 draw 2014.. walikua wapinzani

Ila misimu kadhaa hii wamepunguza na kukubali show ichezeke.

Wanamkosa
Zaha (hatari sana)
Kouyate

kama sisi tunavyowakosa wengine kutokana na AFCON.

Mechi ni 40-60 full of confidence focus we are going to win.
BEST OF LUCK TO THE BOYS
YNWA.

Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka dakika ya 79 tunaongoza 3-0. Come full time 3-3

Ila Suarez ukiachilia mbali tabia zake za kishenzi ni mchezaji mfia timu yani alikuwaga anataka kushinda tu hataki habari nyingine. Ni wachezaji wachache sana ma fighter kama Suazombie.
yule jamaa more than a fighter... Ukiachilia fighting spirit yke uje kwenye talent yake chenga pace uwezo wa kufumania nyavu kwa kila aina ya style... Live long Luisua.

Tabia yke ya kushikisha timu mipira sasa hehehe hapo mmebananishwa vilivyo

Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
 
Hii itasaidia kuwalinda Vijana wetu wasije wakaingia Mkenge kama Bobby Duncan alivyoingizwa Mkenge na Agent wake Seif Rubie.

Duncan alikuwa ni mmoja wa Vijana waliowekwa kwenye Project ya Liverpool ambapo wenzake ni Elliot, Jones na Neco Williams.

Yeye akajazwa Kiburi na Ujinga na Wakala wake akahama Liverpool kwenda Fiorentina! Hatimae sasahivi yupo Derby County tena U-23 wakati wenzake mpaka kina Gordon wanakipiga First Team na kina VVD na Salah.
 
Similar to Jerome Sinclair and Jordan Ibe
 
Huyu Duncan nadhani pia kua ni kutoka familia moja ya na Gerrard alidhani kua professional ni easy come kumbe hakujua hard work, uvumilivu, kusikiliza ushauri kutokana klabuni kuhusu development yake matokeo yake sasa kashuka hukoo championship na tena timu ya vijana kimsingi sina uhakika kama hata huyo wakala bado yupo nae.

Hakuna kazi ngumu kama kuwa manage hawa vijana pale wanapokua wanachipukia na kuanza kutajwa kama next Steve G, Next Yaya Toure, Next Owen, Next Surez nk yaaani hapo bila wakala na klabu yenye msimamo ma dogo wanapotea... Kuna Duncan, yupo, Ravel Morrison, Federico Macheda nk

Hii nimeipenda sana hawa vijana wanapata ushauri hata kupokea u supa star nini watarajie nk..

YNWA
 
Yule bwana mdogo Dwight Gayle sasa yupo Newcastle. Dogo sitokaa nimsahau huyu noma sana.

YNWA
Ile come back kila mtu huwa inamtesa sana.

Mechi zangu mbaya za muda wote nasitakagi hata kuziona marudio yake
i) vs madrid( uclfinal 2017/2018)
ii) vs C palace msimu wa 2013/2014
iii) vs chelsea msimu wa 2013/2014(SG anaanguka)
 
source told the BBC: "We sent a team of policemen to a house at Coleah in Conakry to restore calm after some youths attempted acts of riotous conduct in a house believed to be the family home of footballer Naby Keita."

The report claims that "the youths were venting frustration at one of Keita's relatives who they believed had performed witchcraft, affecting the Liverpool star's Nations Cup performances and increasing his recent spate of injuries."

Captain Marvelous kumbe Keita kalogwa kwao bana sisi tunahangaika nae kila siku yupo kwenye crutches
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom