Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tupo ugenini na hawa jamaa msimu huu kwao hawafungiki kirahisi aisee.

Patrick Viera alivyopata hii kazi Selhurst Park nilijua fika hatamaliza mzunguko wa kwanza kabla hajatimuliwa kazi, aisee kiukweli ame ni sapraizi sana kazi kubwa amefanya aisee.

YNWA

Mara ya mwisho kwenye Epl kutufunga hao jamaa ni 2017. Siku zote hatuwafungagi kila hisi hao jamaa.
 
Wapi salah,wapi mane [emoji3].walikuwa wanasema hatutafunga magoli sasa kiko wapi tumebakiza mechi na leicester tu kama watafika final wasipofika final mechi na leicester watakwepo .mechi na Cardiff sihesabii kwakuwa tutashinda na hata wangekwepo wasingecheza.

Sasa wataturia maana ohoo watakuwa afcon mtakoma [emoji3].
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] et dalili za ubingwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787], next game Leicester city

Mkuu tutashinda sina wasiwasi,me siamini Msimu leicester huu anauwezo wakutufunga nje dani. Yaani leicester hii imekuwa bora sana?.halafu tutakuwa Nyumbani.hapo Epl anfield hatujawahi kufungwa mechi yoyote ambayo tupo anfield Na vvd yupo ndani.
 
Adjustments.jpg
 
Mara ya mwisho kwenye Epl kutufunga hao jamaa ni 2017. Siku zote hatuwafungagi kila hisi hao jamaa.
We have done a double this season watulie tuli haha so cool yaaani they meant to spoil the rhythm but hawajaweza at the end Jota made the difference with that timed run behind the lines...

Now mapumziko safi kabisa. Tukirejea EPL tunamkaribisha home Leicester.

Kwa sasa we take one game at a time.

YNWA
 
Bearded Brazilian Samba boy
Huyu jamaa akishafunga ndevu huwezi kumfunga kirahisi ujue 😂😂😂🤙🤙🤙🤙....

Huyu mwamba kwa kweli is next level.

Concentration yake perfect.

One game at time...

Kipara jana kasema anashangaa sana wanaosema ubingwa ni wake haha anasema lazima angekua anaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 40 kati yake na Liverpool pengine ange relax kusema ubingwa uhakika lakini kwa hali ilivyo sasa sio rahisi kwake kama wengi wanavyodhani...

YNWA
 
Wapi salah,wapi mane [emoji3].walikuwa wanasema hatutafunga magoli sasa kiko wapi tumebakiza mechi na leicester tu kama watafika final wasipofika final mechi na leicester watakwepo .mechi na Cardiff sihesabii kwakuwa tutashinda na hata wangekwepo wasingecheza.

Sasa wataturia maana ohoo watakuwa afcon mtakoma [emoji3].
😂😂😂😂😂No Salah No Mane No problem...

Kila mmoja ashinde mechi zake mbona hakuna maneno hahaha...

YNWA
 
Bearded Brazilian Samba boy

Huyu jamaa akishafunga ndevu huwezi kumfunga kirahisi ujue 😂😂😂🤙🤙🤙🤙....

Huyu mwamba kwa kweli is next level.

Concentration yake perfect.

One game at time...

Kipara jana kasema anashangaa sana wanaosema ubingwa ni wake haha anasema lazima angekua anaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 40 kati yake na Liverpool pengine ange relax kusema ubingwa uhakika lakini kwa hali ilivyo sasa sio rahisi kwake kama wengi wanavyodhani...

YNWA
Jamaa wanalalamika kuwa tumepewa penalty ya mchongo.
 
Liverpool have won all 13 matches in which Virgil van Dijk has scored in all comps - no player has scored in more games for #LFC while winning 100% of them.

Virgil van Dijk - 13
Joe McQue - 13
David Henderson - 10
Fernando Morientes - 10
Naby Keïta - 10
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom