Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unabishana na mtu ambae anaangalia mechi livescore mkuu? It means kwamba huwa haelewi chochote yeye ni ubishi usiokuwa na maana.
😂😂😂😂😂😂Huyu Chugga man ni mgeni wetu kuchangamsha jukwaa na anajua vyema sisi ndio wakali wake..

Ollachuga Oc atakua anatumwa na Thomas kocha wao kutuletea mind games hapa, atake asitake Wembley analala huku tukinyanyua kwapa na kwenye ligi hatomaliza zaidi ya nafasi ya 3 🤣🤣 huku pia UCL akisema bye bye. Pona yake ni ushauri wa Lukaku ufuatwe kwamba anatumika isivyo kimfumo.

YNWA
 
Huyu Chugga man ni mgeni wetu kuchangamsha jukwaa na anajua vyema sisi ndio wakali wake..

Ollachuga Oc atakua anatumwa na Thomas kocha wao kutuletea mind games hapa, atake asitake Wembley analala huku tukinyanyua kwapa na kwenye ligi hatomaliza zaidi ya nafasi ya 3 huku pia UCL akisema bye bye. Pona yake ni ushauri wa Lukaku ufuatwe kwamba anatumika isivyo kimfumo.

YNWA
Huwa ananifurahisha sana huyu mwamba dah!
 
Adjustments.jpg
 
Nasikia mnataka kuchukua epl bana ...

Liverpool kuchukua epl huu msimu ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ....Mimi siogopi gap la point 6 ,nataka mje mtufikie kabisa kwa point 1 harafu tuanze mbio tuwaone

Maji yamekufika shingoni sasa,mlikuwa mnasema eti wakienda afcon tutapoteana.

Sasa hivi tumeanza kuwa tishio mnatuogopa,kitu ambacho ujakiona ni kwamba huwezi kuongoza round ya pili yote yaani mechi 19 zote labda ligi ya Germany na France,hizo point sita tutakufikia tu .
 
Maji yamekufika shingoni sasa,mlikuwa mnasema eti wakienda afcon tutapoteana.

Sasa hivi tumeanza kuwa tishio mnatuogopa,kitu ambacho ujakiona ni kwamba huwezi kuongoza round ya pili yote yaani mechi 19 zote labda ligi ya Germany na France,hizo point sita tutakufikia tu .
And we want to turn hio mnayoita league ngumu epl into league 1keep watching ...

Unaongelea timu kubwa Sana ,kuongoza league round ya 2 ni rahisi kama kunywa Serengeti light na mkate ...

Kama mtakuja Etihad na match ya kuamua nani bingwa ,nipende kuwataarifu kuwa ni siku ambayo mtajuta kuingia uwanjan ,Kwan mtapelekewa moto mpaka mtatamani kutoka uwanjan
 
"I think this will be the busiest summer since 2018 in terms of incomings - but it might be a case of quality rather than quantity. A couple of big buys and perhaps some younger talent that can be brought through."

IanDoyle
#awlive [liverpool echo]
 
Virgil van Dijk has revealed he was on the cusp of replacing Trent Alexander-Arnold on free-kicks at Liverpool had the Reds' right-back not scored against West Ham last November.

“Trent scored against West Ham. If he missed it, I would have been next"
 
Huwa ananifurahisha sana huyu mwamba dah!
Hii ni burudani Mkuu na inatupa raha sana especially pale tunaposhinda dhidi ya wale washindani wetu wa ukweli kama vile Manchester United, Everton, Arsenal, Chelsea na Manchester City.

Idumu JamiiForums angalau wanatuleta pamoja ku share mawili matatu kuhusu timu yetu pendwa Liverpool...

Kuwapata wageni kama Ollachuga Oc nk ujue kipo tunachofanya vipoa sana haha na ni kuhakikisha by luck na hard work hatutoka kapa msimu huu hata kama ni Mickey Mouse trophy tumooooo kushinda sio kusidikiza kama asemavyo Klopp vijana wana njaa ya kucheza hivyo fursa kwao ndio hizi, sky is the limit .

YNWA
 
SALAMU KWENU NYOTE HUMU


WAKUU naombeni kuuliza na mawazo yenu kidogo juu ya hili
Suala la Mane dhidi ya Cape Varde je tukio lile linafanana na lile la kwanza alilolifanya dhidi ya Man city?
Kuna mashabiki wametoa lugha chafu leo
Nani alikuwa na kosa kati ya mane na yule golikipa wa Cape Varde?
Samahanini Sana
Nawasilisha
 
SALAMU KWENU NYOTE HUMU


WAKUU naombeni kuuliza na mawazo yenu kidogo juu ya hili
Suala la Mane dhidi ya Cape Varde je tukio lile linafanana na lile la kwanza alilolifanya dhidi ya Man city?
Kuna mashabiki wametoa lugha chafu leo
Nani alikuwa na kosa kati ya mane na yule golikipa wa Cape Varde?
Samahanini Sana
Nawasilisha
Ujue hivi kuna foul zinaangalia

1. Nia ya wachezaji wote wawili,

2. Uwezo wa aliyechezewa foul kuufikia mpira na kuumiliki na mchezaji foul kuucheza ama kuumiliki mpira au kuuondoka kwenye umiliki wa aliyepigiwa au mwenye nao.

Nitoe mfano huu mechi ya Liverpool vs spurs hii ilikubalika 99.9% Kane alitakiwa kuoneshwa kadi nyekundu, kwa nini Hakua na uwezo wowote wa kuumiliki mpira au kuuondosha namna alivyoserereka niahaikua njema.

Sasa kwa foul ya Mane jana ile ni kadi nyekundu halali
1. Kipa hakua na uwezo wa kuumiliki ule mpira.

2. Kipa hakua na nia sawia zaidi ya kumzuia Mane asifunge kwa kumcheza yeye badala ya mpira. Kama Mane angeupata ule mpira angekua na 90% ya kufunga kuliko kukosa.

3. Wakati mpira umepigwa, Mane hakua anaangalia golikipa zaidi ya mpira ila kipa lengo lilikua kumzuia Mane kuliko mpira.


CASE YA PILI
Mane vs Ederson

Ile scenario labda tuchukulie high boot ishu ila Mane hakua na lengo la kumcheza kipa wakati mpira upo kwenye movement alikua amelipa goli la city mgongo wakati mpira umepigwa alianza safari ya kukimbia kwa kuutazama mpira na sio golikipa, kipa alimuona Mane akija hivyo akarisk kuweka kichwa bahati nzuri au mbaya mguu ukatua shingoni. Ederson alikua nje ya 18 sijui kisheria imekaaje lakini Mane hakustahili kadi nyekundu kwa kutizama nia yake na macho yake yalikua wapi?? Hii ni kwa mujibu wa wachambuzi na mahojiano na marefari wa zamani.

Matukio kama haya yapo na yamechambuliwa sana. Kwa maelezo haya katizame video zote mbili soma body language utaelewa mkuu.


Kuna vitu vingine kimaamuzi hua ni ngumu sana sana kwa scenario hizi mbili

USIWALAZIMISHE KUAMINI, KUAMINI NO CHAGUO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom