42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
*****... hiyo game tuna hasira.Tarehe 2 tunapata corona na game Ina sogezwa mbele
*****... hiyo game tuna hasira.Tarehe 2 tunapata corona na game Ina sogezwa mbele
Wajinga wale,,,wote wamehamia nyuma tungefanyaje!Hayo maarifa waliyo wazidi ndio akili yenyewe .....mmetoka na 0.00point hapo king power![]()
Nayafunga mechi ijayo.Hayo mawili naona ulifunga ww
Sasa Chelsea kuna timu pale??Coming match unajua unacheza na nani?
Utajua hujui
KwendeniAcha leo the blues tushinde turudi nafasi ya pili tar 2 tunawabamiza na habari yenu inaishia hapo.

Wewe ulilala?match dakika ngapi saiv?
Kaangalie mkuumatch iliishaje?


.The next matches we are going to win non stop.Mbona mkifungwa mnaleta vikingereza vingii . Kwani kuna timu isiyofungwa. Au mlizani mtashinda kila timu?
Mbona chelsea ikifungwa wote mnaamia kwenye thread yetu
Tulia goli moja si kitu![]()
Na nyie msitambe sana pale juu tunawafuata..na mechi ijayo mnapoteza.Game ya Chelsea mkijitahidi ni draw .......
Wakati mnaparuana na Chelsea ze cityzen were busy collecting 3 point ....
Kama mnaweza mtufuate pale juu dadekiii
Game yetu Chelsea na nyie ni gemu muhimu sana kwetu .Nayafunga mechi ijayo.
Tena kama nyie chelsea tutalitandika timu lenu hadi mshangae.
Mapema sana tunaichapa Chelsea.Game yetu Chelsea na nyie ni gemu muhimu sana kwetu .
Sio msitegemee mtelezo
Chelsea wakiwa 10 ulishindwa kuwafunga.Nayafunga mechi ijayo.
Tena kama nyie chelsea tutalitandika timu lenu hadi mshangae.
Waleteee waleteeeeChelsea wakiwa 10 ulishindwa kuwafunga.
Utaweza kuwafunga wakiwa full mziki?
Tucheliban ana roho mbaya sana. We subiri.Sasa Chelsea kuna timu pale??
Nikajua unanitisha labda ni man City...
Chelsea Asenali hakuna timu pale ya kutufunga.






Hivi unajisikiaje kuzabuliwa na hao Leicester.Kwendeni
Nyie tena hata msipige kelele maana tunakuja kuwasulubisha vibaya mno
Nililala fresh tu na ndoto nzuri nikaota.Hivi unajisikiaje kuzabuliwa na hao Leicester.
Ulipata hata usingizi jana kweli?
Na nyie msitusumbue.Game yenu na Chelsea sisi matokeo yeyote ni furaha tu ,ila draw itakuwa vzuri zaidi![]()
Mimi siwezi angalia match ya liva puru maana hawanaga maajabu.Wewe ulilala?