Tamaa ya magoli mengi ndio tatizo mechi kubwa km hii unapoongoza magoli mawili inabidi uwe na nidhamu ya kuzuia badala ya kuendelea kushambulia kwa kasiHili tatizo la kuruhusu magoli mengi kirahisi linataka lukomaa Sasa, haiwezekani mtu utangulie magoli mawili alafu yarudishwe chapu kizembe hivyo. Safu ya ushambuliaji inapewa mlima isiyostahili kabisa.
Refer mechi ya Tottenham.
Dah! Mkuu ni kweli lakini tumepwaya sana.Mkuu nilichogundua matatizo tuliyonayo Na wenzetu pia wanayo.
Mkuuuuu acha kuogopa2022 bombastic level EPL..
Aiseee kwamba hatuna uwezo wa kuua mechi namna hii hatari sana.
Jones ama Ox kwa kutembea na mpira ni wazuri sijui Milner 36yrs wa nini ugenini.
Katoa faulo ya kijinga sana.
Ollachuga Oc momentum kwako sasa.
YNWA
Mkuuu timu yako nayo inaunga unga tu kama yetu usijidanganye eti timu yako ni bora hapana mkuuSijui kwanini tumeruhusu magoli mawili ndani ya mda mfupi tu.
Hendo ni captain wa hovyo kuwahi kutokea kwenye soka.WORST MIDFIELDER PERFORMANCE
MIDFIELDER can't complete a pass,
Losses possession
Duuh huyu Medy sio kipa wa kawaida..Mkuuuuu acha kuogopa