Konate jana woow whats a game kama ataedelea hivi plus aongeze spidi na game plan na kusoma mipango ya opponent vyema mbona tutakua sorted for so many many years..
Trent defence duties tangu apumzike VVD amekua level zingine kabisa... Ooh man huyu ni future captain wa Liverpool hilo lipo wazi sio kwa kujituma kule kwa janaaaaaaaa....
Morton, Keita, Milner ni pedestrian no real threat kwenda mbele ni real urgency kuzuia mashambulizi yaaani mbele hawapo nyuma hawapo kati hawapo... Hopefully Henderson, Jones watakua wame recover as soon.
Ni kazi ngumu kuvaa viatu vya Fabinho aisee hivyo hapa tutayumba kimtindo lakini umakini wa kutopoteza pasi hovyo utasaidia aisee...
Hivi January hii Klopp kwa nini asitue Fiorentina mazima kumchukua strika Dusan Vlahovic dogo ana miaka 21 nani real poacher aisee... Japo hili halisemwi mara kwa mara bado naamini tunahitaji mfungaji wa ukweli, pale mbele tunatengeza nafasi nyingi sana na bado nyingi wachezaji wetu wanakua sio clinical.. Hili lazima solutions ipatikane. Na huyu mwamba wa Serie A ndio jawabu bei yake haifiki £50m kwa sababu amegoma kuongeza mkataba hivyo ilikua tu Klopp atue mazima na magoli tumepata. Naona Arsenal, Tottenham, Juventus, Newcastle wanamtupia macho hivyo ni swala la kuwai chap.
YNWA