Huu ndo ukweli mchungu😅😅😅!!!Kigogo huwa anamwita Pep Professor Kipara lakini huyu Pep anastahili kupewa Phd ya heshima.
Na naamini Kipara pale juu hachomoki tena.
Pep kwny swala tu la mbio za ligi ni m2 mwngne kbs..hapo wengne wote waliobak wataisoma namba tu..ligi bingwa ndo huyo.Huu ndo ukweli mchungu!!!
Nakumbuka msimu uliopita around January if not mistaken, Man U tuliongoza ligi baada ya kumfunga Fulham nadhani. Niliamini tutapambania ubingwa vs City baada ya ule ushindi. Nikamuweka Man City kwenye favourites ili niwe napata notifications kuhusu mechi zake, nikiamini ipo siku watadondosha points.
Nilinyoosha mikono aisee, kila notification itakayokuja ni goli la Man City. Wakati huo sisi tunafungwa na Sheffield...
Walianza kwa kutuzidi point nne, ikawa saba and the rest is history
Kwenye suala la Marathon, kipara ni mbabe aiseee,, yupo consistent mpaka anaboa
Sio foul. Revisit football rules.The issue is Salah alinawa mpira kwenye box .....!
Kipara hanaga utani.. Waliwafunga Newcastle goli 4 bila sasa jamaa anahojiwa anasema ile mechi walicheza vimbaya sana tena akasema kipindi cha kwanza ndio mechi wamecheza hovyo sana msimu huu angalau kipindi cha pili akasema ndio vijana walijitahidi. Maanake ni kwamba kipara anaweka viwango vyake regardless wanashinda lazima vile viwango avione aisee tofauti na hapo ujue wachezaji wake bila kupepesa maneno atayasema ya moyoni..Huu ndo ukweli mchungu😅😅😅!!!
Nakumbuka msimu uliopita around January if not mistaken, Man U tuliongoza ligi baada ya kumfunga Fulham nadhani. Niliamini tutapambania ubingwa vs City baada ya ule ushindi. Nikamuweka Man City kwenye favourites ili niwe napata notifications kuhusu mechi zake, nikiamini ipo siku watadondosha points.
Nilinyoosha mikono aisee, kila notification itakayokuja ni goli la Man City. Wakati huo sisi tunafungwa na Sheffield...
Walianza kwa kutuzidi point nne, ikawa saba and the rest is history
Kwenye suala la Marathon, kipara ni mbabe aiseee,, yupo consistent mpaka anaboa
Kipara hanaga utani.. Waliwafunga Newcastle goli 4 bila sasa jamaa anahojiwa anasema ile mechi walicheza vimbaya sana tena akasema kipindi cha kwanza ndio mechi wamecheza hovyo sana msimu huu angalau kipindi cha pili akasema ndio vijana walijitahidi. Maanake ni kwamba kipara anaweka viwango vyake regardless wanashinda lazima vile viwango avione aisee tofauti na hapo ujue wachezaji wake bila kupepesa maneno atayasema ya moyoni..
Nadhani hii approach yake ya no nonsense coach pale Ethad imemsaidia kuwaweka wale ma star kwenye ubora wao muda wote. Maana sio kazi rahisi ujue kuwa na kikosi kimesheheni vipaji vile na wote wakitaka 1st 11 lakini mwenyewe kipara wala hana maneno mengi anasema wanaojituma mazoezini ndio watapata dakika zaidi...
Kipara is bad news man.. Tutakwenda nae hivyo hivyo hakuna namna.
YNWA




















Mkuu hili la depth ya kikosi zamani nilijua ni Klopp ndio mwenye kuhitaji vile aisee kumbe ni hawa FSG yaani hawana ma Yankees ni shinda kubwa sana. Mipango yao ni hovyo sana wish wasepe hata kesho bure kabisa..Iko wazi tu tukubali kuwa Pep ni kocha bora EPL yote hamna anaemfikia sio Klopp wala Conte wala nani
Na kwa sasa EPL hii LFC tutampa changamoto tu ila anachukua Pep hii EPL msimu huu
Usajili tunaofanyaga bado sana kukabiliana na Pep na pia ule ukweli kuwa Klopp sio mzuri ku'rotate' wachezaji
Yaaani Pep hua haweki aseme kesho wala kifua hana hahaha yeye ni hapo kwa hapo na bila hivyo angepata shinda pale kwa vipaji vile wangemsumbua sana...
Yaaani Pep hua haweki aseme kesho wala kifua hana hahaha yeye ni hapo kwa hapo na bila hivyo angepata shinda pale kwa vipaji vile wangemsumbua sana...
Klopp tu kumtoa Salah ananuna je angekua kwa Kipara mbona angechezea benchi lakini sasa Liverpool umwambie Klopp Salah aanzie benchi aafu nafasi yake umpe labda Ox haha sasa unategemea nini kama sio kubahatisha lakini Pep ataweka nje Foden, Grealish nk aafu atapanga Sterling na Mahrez haha...maana benchi lipo full vipaji.
YNWA








Mkuu hili la depth ya kikosi zamani nilijua ni Klopp ndio mwenye kuhitaji vile aisee kumbe ni hawa FSG yaani hawana ma Yankees ni shinda kubwa sana. Mipango yao ni hovyo sana wish wasepe hata kesho bure kabisa..
Wanasema hivi kununua wachezaji ni policy ya sell to buy only hakuna wao kutoa ela wala mkopo benki yaaani sishangai hata Edwards kuodoka maana Liverpool imemkuza na kumpa jina hivyo hatakosa kazi popote hata Real Madrid nimeona wanamhitaji...
FSG wao uwekezaji wao ni kujenga/kupanua uwaja, viwanja na vifaa vya mazoezi basi.
Liverpool kama timu wazalishe pesa za kutosha kutoka viingilio, mikataba ya biashara, kuuza wachezaji, kuuza jezi nk na hii ela wakipata walipe mishahara, wanunue wachezaji 🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿... Sasa kipindi hiki cha corona kwanza walipata hasara mwaka jana ilikua jambo la busara kwenye kununua wachezaji basi FSG wasaidie lakini ndio kwanza wanazidi kupanua empire yao kwa kununua timu ma bara tofauti na bora Cruzeiro ya Brazil wameikosa maana hawana njema kwetu kama hatuwezi kua na benchi la kumfukuza kipara mbali kutegemea Klopp magic touch hapa na pale ni aibu kubwa sana...
Mansour hahitaji Manchester City kua tajiri mbali FSG wanawahitaji Liverpool kujiongezea utajiri hivyo hii timu walinunua kimkakati sana wakitaka iwaletee wawekezaji wengine kuwekeza kwao ili kupanua empire na kwa hili wamefanikiwa sana.
Hivi kwa mfano hawa wachezaji wetu almost wako 30yrs pale mbele meaning gradually tunahitaji kuleta replacement angalau kwa kutumia Hoover tulimpata Jota je kuwapata wengine wawili nani atauzwa sasa. Something tells me Mane will be on the move yaaani tuna wamiliki kupe ajabu yaani chawa OG.
Kipara hata akipata ubingwa huu kwa kweli sina cha kulamu kwa Klopp kwani they are giving their all kila mechi and rotation sio like for like hivyo hilo silitegemei labda pale kuna majeruhi nk
YNWA
Ukweli mchungu.Pep is second to none with regards to EPL coaches/coaching we have to admit that neither Klopp nor anyone come close to him in competency of winning EPL
AND ALSO we are so resource poor at the moment(its all on FSG) which makes us scraping beings (Its Either poor form of Pep's City or no way we are winning EPL)
Huyu ni kichaa refa yupi anatulinda...
They know he spoke the truth mofos
I could say pesa ndio kinga ya Pep. He's yet to be exposed to real shit.Ukweli mchungu.
Naked truth.
YNWA